Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mechi za kuamua nani asonge mtani ni ngumu sana na si rahisi kwa timu zote mbili maana huwa zinachezwa kama fainali, naamini hatutakuwa wepesi away kama tulivyokuwa makundi, hahaha hivi mtani draw za makundi zilivyipangwa ulitegemea kama tungetoboa kweli.
Sikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.

Ila huenda.
 
Mechi itakuwa ngumu sana kiukweli... Ni timu tu kujipanga vizuri katika mechi ya hapa nyumbani ili tupate ushindi wa goli angalau 3-0 naamini inawezekana. Maana mechi ya ugenini itakuwa ngumu sana hasa ukiangalia rekodi yetu ugenini sio nzuri.

Pamoja na hayo mpaka hapa timu imepambana sana kiukweli, Inahitaji pongezi mpaka kufika hatua hii. Hatua hii ya robo kuna mtihani mkubwa sana kwetu tena sio kidogo...

INSHAALLAH MUNGU ATUFANYIE WEPESI...

SIMBA NGUVU MOJA!
 
Hahaaa. Punguza Munkari basi. [emoji12]

Hivi mnaanzia mechi wapi? Ugenini au hapo mnapopaita kaburini.
Umeshajua tukianzia ugenini tukirudi nyumbani ushindi wetu... Hiyo formula tunambadilshia TP Mazembe atalia kama mtoto mdogo mark my word

Happiness is a lifestyle
 
Sikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.

Ila huenda.
hahaha hivi kwanini mnatupiga vita hivi wakati tu nataka kuwapatia viti maalum ili mwakani tuwe pamoja sote
 
Back
Top Bottom