Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu umesema Mazembe wanafungika nyumbani?
Hatua ya makundi mechi za nyumbani
Mazembe 2 ismaily 0
Mazembe 8 clab African 0
Mazembe 3 Constantine 0

Kifupi hawajaruhusu goli nyumbani na ndo timu ilifunga magoli mengi 13 mechi hatua ya makundi.
Simba ndo timu ilifungwa magoli mengi hatua ya makundi goli 12

Simba kufuzu inaitajika massive improvement kwenye defense hasa mechi za ugenini na kufunga goli za kutosha nyumbani hatua hii ushindi was 1-0 au 2-1 hauna tija tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Narekebisha,Mikia imefungwa Goals 13 kwenye makundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gongowazi nawakumbusha jumapili timu ya taifa ndo inacheza msije mkaanza kuwashangilia uganda[emoji23][emoji23][emoji23] . Kuhusu Tp maEmbe hao waume zenu wala msijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tp mazembe ni underdog kwa as vita kwenye ligi huwa Mara nyingi anampiga nje ndani kama vita alikaa kwa mkapa mazembe ndo nani mtani, tujipongeze simba kwa kufuzu nusu fainali send off ilifanyika kwa as vita harusi kamili itafanyika kwa mazembe
Sasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?

Ingekuwa aggregate ya 6 - 2 sasa kwa nini muone mumemuweza As Vita wakati ni Point tu zimewabeba.
 
Sasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?

Ingekuwa aggregate ya 6 - 2 sasa kwa nini muone mumemuweza As Vita wakati ni Point tu zimewabeba.
Mechi za kuamua nani asonge mtani ni ngumu sana na si rahisi kwa timu zote mbili maana huwa zinachezwa kama fainali, naamini hatutakuwa wepesi away kama tulivyokuwa makundi, hahaha hivi mtani draw za makundi zilivyipangwa ulitegemea kama tungetoboa kweli.
 
Simba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo

View attachment 1050159

Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad AC na Esperance vs Constantine

Simba itaanzia nyumbani kutokana mfumo wa michuano hiyo kwa kuwa walimaliza wakiwa nafasi ya pili katika Kundi D.

View attachment 1050158

Simba ilimaliza kundi D katika nafasi ya pili na ikajulikana mapema Kuwa ina nafasi ya kukutana na kati ya timu tatu zilizokuwa vinara wa makundi ambazo ni Waydad Casablanca, TP Mazembe au mabingwa watetezi, Esperance.
=====

Droo ndio hiyo wenzangu wa Simba nafasi yetu ipoje?
Ni heri hawa wazembe kuliko wale Waarabu wa fitina... Nusu fainali tumo hakika nawaambieni atakaebisha mchawi

Happiness is a lifestyle
 
Back
Top Bottom