Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Sasa unalalama nnSasa nashangaa Mtani Congo mlifungwa 5 hapa mkafunga 2 - 1 chukulia ingekuwa Mtoano mngemuweza As Vita?
Ingekuwa aggregate ya 6 - 2 sasa kwa nini muone mumemuweza As Vita wakati ni Point tu zimewabeba.
Tumeziona mtani vipi huna hata neno la kututakia kila la heri
Sina ugomvi binafsi mkuu ila nimesema ukweli. 95% ya wanawake wa humu kwa kujiita majina mazuri mazuri na kuweka picha za wanawake wenzao wenye maumbile mazuri hawajambo ila kutana nae sasa, unaweza kulia, shapeless kabisa.HahahhΓ hahaha aiseee,sasa Mkuu haya yote yametokea wapi au mna ugomvi binafsi na Cutelove?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Muwacheni Mzee wa Watu.
Ni April 5 au 6.
Hahaaa. Punguza Munkari basi. π
Hahaaa. Hapo Mtani hilo neno la kila la kheri halina hata faida sababu mwisho wa siku kilio kipo pale pale tu.Tumeziona mtani vipi huna hata neno la kututakia kila la heri
Happiness is a lifestyle
Hahaaaa. Naona umekazania habari za Zahera tu Mtani wangu wewe.Nimeskia yuko caf kaitelekeza yanga amepeleka malalamiko anadai simba iliwafanyia figisu wakongo eti iliweka sumu kwenye vyumba vyao
Sent using unknown device
Tunaanzia nyumbanHahaaa. Punguza Munkari basi. [emoji12]
Hivi mnaanzia mechi wapi? Ugenini au hapo mnapopaita kaburini.
Ya magoli mengi ya nyumbani sasa huo ubavu mnao?
Kilio kipo ila tunaingia semi finalHahaaa. Hapo Mtani hilo neno la kila la kheri halina hata faida sababu mwisho wa siku kilio kipo pale pale tu.
Ila Mtani huu ni Mtoano na sio Points ujue."Muda utasema", nakumbuka huu msemo kwa AS Vita uliutamka pia.
Wakongo watajuta kuijia Simba mwaka huu, + na Zahera wenu.
Na nyie mnakazana Na habar za Simba Sport ClubHahaaaa. Naona umekazania habari za Zahera tu Mtani wangu wewe.
Mjipange. [emoji126][emoji126][emoji126]
Binafsi hata Mimi nilikuwa namtaka mazembe kwenye Hatua hii hapa njia ya kuingia nusu fainali tukikaza ipo, kuliko tungepewa waarabu ambao fitna zao ni kubwa hao acha tukutane nao kuanzia nusu fainalNi heri hawa wazembe kuliko wale Waarabu wa fitina... Nusu fainali tumo hakika nawaambieni atakaebisha mchawi
Happiness is a lifestyle
Nyumban tunashinda 4-1Ya magoli mengi ya nyumbani sasa huo ubavu mnao?
πππ jisahaulishe tu.