Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Hahahhàhahaha aiseee,sasa Mkuu haya yote yametokea wapi au mna ugomvi binafsi na Cutelove?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ugomvi binafsi mkuu ila nimesema ukweli. 95% ya wanawake wa humu kwa kujiita majina mazuri mazuri na kuweka picha za wanawake wenzao wenye maumbile mazuri hawajambo ila kutana nae sasa, unaweza kulia, shapeless kabisa.
 
Ni heri hawa wazembe kuliko wale Waarabu wa fitina... Nusu fainali tumo hakika nawaambieni atakaebisha mchawi

Happiness is a lifestyle
Binafsi hata Mimi nilikuwa namtaka mazembe kwenye Hatua hii hapa njia ya kuingia nusu fainali tukikaza ipo, kuliko tungepewa waarabu ambao fitna zao ni kubwa hao acha tukutane nao kuanzia nusu fainal
 
Hivi uchaguzi wa vyura lini?Au bado wapo kwenye parental control kama watoto .Vyura hawana hata uongozi halafu midomo mirefu na husda.
Ukitembea sehemu yeyote yenye njaa sababu kubwa huwa ni ukosefu wa mbinu za uongozi,husda,imani za kishirikina na roho za kwanini.
Haya yote yanapatikana kwa vyura.
 
Back
Top Bottom