Sikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.Mechi za kuamua nani asonge mtani ni ngumu sana na si rahisi kwa timu zote mbili maana huwa zinachezwa kama fainali, naamini hatutakuwa wepesi away kama tulivyokuwa makundi, hahaha hivi mtani draw za makundi zilivyipangwa ulitegemea kama tungetoboa kweli.
Tupigane at least tupate ushindi wa kuanzia 3.0 kwenda mbele
Dooh! Hivyo kwa Mkata mtashinda 3 halafu kule mnafungwa 2? 😳😳
Nani kakudanganya tutaweka msiba, hakuna kitu kama hichoHahaaa. Hapo Mtani hilo neno la kila la kheri halina hata faida sababu mwisho wa siku kilio kipo pale pale tu.
Kama nakuona ile saa ya upangaji timu pale Esperance ilipookotwa ya kwanza kabisa ulishangilia kiasi gani. 😅😅😅Ni heri hawa wazembe kuliko wale Waarabu wa fitina... Nusu fainali tumo hakika nawaambieni atakaebisha mchawi
Happiness is a lifestyle
Kwani nkana tuliwatoa kwa ubavu gani..mwaka huu mtaweweseka sanaYa magoli mengi ya nyumbani sasa huo ubavu mnao?
Umeshajua tukianzia ugenini tukirudi nyumbani ushindi wetu... Hiyo formula tunambadilshia TP Mazembe atalia kama mtoto mdogo mark my wordHahaaa. Punguza Munkari basi. [emoji12]
Hivi mnaanzia mechi wapi? Ugenini au hapo mnapopaita kaburini.
Soura alifungwa ngap,Nkana alifungwa ngap?Sikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.
Ila huenda.
hahaha hivi kwanini mnatupiga vita hivi wakati tu nataka kuwapatia viti maalum ili mwakani tuwe pamoja soteSikutegemea kabisa. Yabidi maajabu yatokee ndio msonge mbele sababu kufunga goli nyingi kwa Mkapa kwenu ni ndoto na kuzuia kufungwa nyingi ugenini ndio ndoto zaidi.
Ila huenda.
Ila Mtani huu ni Mtoano na sio Points ujue.
Ilikuwa simba 2 vita 6 hapo nanikapigwa we mbumbumbu?Tumemfunga As Vita ambae ndio bingwa msimu uliopita Congo...mazembe presha ipo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa..wale wajomba ni wakali sana kwa fitina za soka.Almanusra hatukupangiwa Waarabu !!
Saafi
All the best.
Kwanini isiwezekaneHahaaa. Tatizo mnapataga ushindi kiduchu na hilo ndio litawatowa. Au wadhani mwaeza mfunga zaidi ya bao 4 kwa Mkapa?
Apia!