Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Na tutawasema mpaka mjitoe[emoji3][emoji3][emoji3] Utani wa Jadi ndo ulivyo. Japo ikitokea tutashiriki pia.
😀😀😀 zamani hiyo Swahiba.
Afadhali.
Hahaaaa. Angefikia hatua akanawa mikono na kuona sisi sio saizi yake.
Wanasema Imeshuka kiwango eti kisa alifungwa na As Vita na wao wakamfunga As Vita kwa Mkapa hivyo kazi itakuwa nyepesi kwao?
Ila siku hizi Mabasi hayapo tena ujue au mi ndio sifuatilii?Ama la di Mateo na Chelsea walilopaki mbele ya fc Bayern pale alianz arena na wakafanikiwa
Hajitoi mtu. 💃💃
Sasa nimeahamia mtaa wa 7[emoji1787]Ww tulia ww..kama kawaida yenu mshahamia mazembe..
MTA tapatapa sana mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshindi wa Simba S.C vs TP Mazembe anacheza na mshindi wa CS Constantine vs Esperance de TunisMshindi ya Simba vs mazembe
Anacheza nusu na mshindi Kati ya
Horoya FC vs wydad Casablanca
View attachment 1050100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Mtani niwakataze wapi wenyewe wamekua tu na kuona huko Umbumbuni ndio saizi yao. Nimewaacha tu kwa kweli.
Acha kulazimisha upendacho wewe na mwingine akipende 7bu Watu hatufanani na hiyo ndiyo dunia.Yanga hawachoki,,,, watasema tena "sasa mwisho wenu umewadia".
wamesahau hiyo miisho imeanzia kwa Nkhana - na Nkhana akapigwa.
Al Ahly akapigwa, Js Soura akapigwa, AS Vita akapigwa.. Wembe ni uleule,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga yeye kapangwa na Alliance,anayejua inatoka nchi gani anijuze
Tp tunawanyongea hapa kwa mchina tukifika kwao tunakaa wote golini ndo watajua kweli this is Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
yamepungua sana kabikia simioni na atletico Madrid, now dayz kila mtu anafunguka, tatizo sie tukienda funguka atukawii kula 5 bora tukacheze defensive game tuIla siku hizi Mabasi hayapo tena ujue au mi ndio sifuatilii?
Wanatokaje wakati mbabe wao alishindwa kutoka taifa?
View attachment 1050129
Hahaa. Ila Wanasemaga kuimba kupokezana.Emejua kuwachagulia kilicho chema, maana hapo ulipo unamlaumu aliyekufanya upende vyura. Ukaona ma-uncle yasiwakute yanayokukuta.
Usihofu Esperance tutakutana nae fainal,Mshindi wa Simba S.C vs TP Mazembe anacheza na mshindi wa CS Constantine vs Esperance de Tunis
Sent using Jamii Forums mobile app