Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Hujamuelewa huyo jamaa, mungu = shetani + hirizi + mapepo + mizimu + wachawi + washirikina + wachawi + majini + matambiko LAKINI Mungu/MUNGU = Muumba mbingu na nchi na viumbe vyote viijazavyo dunia.

Nadhani utakuwa ushamuelewa wanayemtegemea kwa namna nilivyokufafanulia Chifu.
Kwenue mpira hakuna kumtegemea mungu ni maandalizi yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hawachoki,,,, watasema tena "sasa mwisho wenu umewadia".

wamesahau hiyo miisho imeanzia kwa Nkhana - na Nkhana akapigwa.
Al Ahly akapigwa, Js Soura akapigwa, AS Vita akapigwa.. Wembe ni uleule,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulazimisha upendacho wewe na mwingine akipende 7bu Watu hatufanani na hiyo ndiyo dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom