Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu nimenunua ka mbuzi...ntakutafuta
Ntawaita vyura woote muone ninavyomchinja kama tutakavyo mchinja mazembe,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tìmu yenu inasifika sana kwa kutoa kafara za damu tena haioni shida kutoa wanachama/mashabik wake 10 kwa mpigö. Sasa kama uyo mbuzi wa kafāra mnataka na sisi wa upande wa pili sijui ndo mlivyõambïwa na somo
 
Huyu ndie anakuja kukuoa kabisa,wale wengine walikuwa wanakuchezea na kukuacha.


Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmefukuka..tangu lipuli wawape kitombo kule iringa huku sisi tukiwapa kifiro mabasha wenu as vita mulipotea kabisa...sahivi mmefufuka baada ya kusikia kuna basha lenu jipya tunakuja kulipa kifiro
 
Kwenye mpira chochote kinaweza kutokea,,
But Simba itabidi iboreshe sana safu ya ulinzi,,,
Safu ya ulinzi inapitisha magoli mengi sana ugenini..
Tuambie unaonaje game hii, simba anawezo uwezo wa kushinda nyingi home na kuzuia ugenini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vita mlisema hivi hivi, na al ahly mlisema hivi hivi na spura mkasema hivi hivi.
Kama As Vita tarehe 3.3.2019 alimpiga mazembe 3-0 kama kasimama kwa nini sisi tusimchuchumalishe taifa? Mazembe apange hesabu za congo, hapa bongo hatoki.
 
Wakitaka simba ifugwe jawa tff wapeleke mechi kiwanja cha ugenini.
Simba ni timu ya Dar, ndio nyumbani kwake. Kupeleka mechi mikoani ni kuipeleka ugenini.
Tena tunaitaka TFF iweke mkono wake nje ya uwanja,sio kusubiri 5% tu na kupost matokeo
 
Hawa ndio size yetu kwa sasa... anaepata mashaka hajui Simba haijabahatisha kuwa hapo ilipo.
Mazembe hawatishi. Cha msingi ni kujituma .. Umakini.. Umoja na nidhamu.
Simba nguvu 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…