Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu nimenunua ka mbuzi...ntakutafuta
Ntawaita vyura woote muone ninavyomchinja kama tutakavyo mchinja mazembe,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tìmu yenu inasifika sana kwa kutoa kafara za damu tena haioni shida kutoa wanachama/mashabik wake 10 kwa mpigö. Sasa kama uyo mbuzi wa kafāra mnataka na sisi wa upande wa pili sijui ndo mlivyõambïwa na somo
 
Huyu ndie anakuja kukuoa kabisa,wale wengine walikuwa wanakuchezea na kukuacha.


Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmefukuka..tangu lipuli wawape kitombo kule iringa huku sisi tukiwapa kifiro mabasha wenu as vita mulipotea kabisa...sahivi mmefufuka baada ya kusikia kuna basha lenu jipya tunakuja kulipa kifiro
 
Simba hatoboi hana timu ya kuifunga mazembe chezea hengine waarabu wanamjua ndani nje anawapiga tu ni timu iliyofynga magoli mengi zaidi kuliko timu yeyote 16 bora thubutu wanakuja kulipiza kisasi cha ndugu yao AS VITA

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vita mlisema hivi hivi, na al ahly mlisema hivi hivi na spura mkasema hivi hivi.
Kama As Vita tarehe 3.3.2019 alimpiga mazembe 3-0 kama kasimama kwa nini sisi tusimchuchumalishe taifa? Mazembe apange hesabu za congo, hapa bongo hatoki.
 
Write your reply...
hawa si ndo jamaa waliomuweka mwarabu 8
Ndio hawa hawa mazembe waliopigwa na As Vita 3 bila wiki 2 zilizopita.
20190320_225143.png
 
Wakitaka simba ifugwe jawa tff wapeleke mechi kiwanja cha ugenini.
Simba ni timu ya Dar, ndio nyumbani kwake. Kupeleka mechi mikoani ni kuipeleka ugenini.
Tena tunaitaka TFF iweke mkono wake nje ya uwanja,sio kusubiri 5% tu na kupost matokeo
 
Hawa ndio size yetu kwa sasa... anaepata mashaka hajui Simba haijabahatisha kuwa hapo ilipo.
Mazembe hawatishi. Cha msingi ni kujituma .. Umakini.. Umoja na nidhamu.
Simba nguvu 1
 
Back
Top Bottom