Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

still we can make it💪💪
 
Attachments

  • Screenshot_2019-03-20-22-31-55.png
    Screenshot_2019-03-20-22-31-55.png
    90.7 KB · Views: 20
REKODI MUHIMU KATIKA ROBO FAINALI.

1.Timu iliyofunga Magoli mengi ni TP MAZEMBE.Imefunga Goli 13 .
*
2.Timu iliyofungwa Magoli* mengi ni SIMBA.Imefungwa Goli *13 .

Huu ni Mpambano kati ya Forward hatari vs Beki dhaifu.
 
Yanga hawachoki,,,, watasema tena "sasa mwisho wenu umewadia".

wamesahau hiyo miisho imeanzia kwa Nkhana - na Nkhana akapigwa.
Al Ahly akapigwa, Js Soura akapigwa, AS Vita akapigwa.. Wembe ni uleule,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia hivi Mwanaume huyu mliempata wakati huu hawachezei tena na kuwaacha bali amekuja serious kuwaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kwenye stage hii kuna nafasi ya kufanya usajili mtapita kwenda nusu fainali ila kama kikosi ndo iki kilichofungwa na mbao safari imeishia hapa.
 
Nyie mlikuwa mnapata faida gani kuwashangilia na kuwapa hifadhi wapinzani wa Yanga?Malipo ni hapa hapa Duniani. Na naona leo umekuwa mpole sana sababu ushapangiwa bwana wa kukuoa tena kinguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kwamba mnashamgilia wapinzani wa Simba ila Simba ndio inasonga mbele. Ni tofauti na yanga.
Alafu simba ni crowd puller hatuhitaji msaada wenu kuja kujaza uwanja.
 
Back
Top Bottom