Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa

Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
 
MO atawapa mil. 80 na kisha atawaambia KEEP CHANGE wanabaki kutoana roho na iyo mil 3.
 
Kwani hao simba wana hela gani Gabacholi akigoma mali inapigwa mnada we siulisikia kwenye mkutano mkuu akaunti ya simba haikuwa na kitu sasa hela wataitoa wapi
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa

Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
Kwanza Hakuna Kitu Kinachoitwa MAHAKAMA YA WILAYA YA KINONDONI MKOA WA DAR ES SALAAM (KUPITIA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA) Bali Kuna BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA YA KINONDONI Lililoko KINONDONI MKOA WA DAR ES SALAAM
 
Aisee!.
Naona watu wameanza kumuandama Mo kila kona. Mara mchakato wa uwekezaji wa Club uanze upya na sasa Amri ya kulipia kodi ya ardhi. Deni la ardhi lisipolipwa nasubiri siku ya mdada wa ule uwanja wa Bunju pengine Yanga watafika bei.
Ndio shida ya ushabiki mandazi huo!!yaani kodi ya ardhi kushindwa kuilipa na kutakiwa kuilipa imekuwa hujuma?!!kwenye huo mchakato wa uwekezaji siku mkiujua ukweli ndio mtaona kuwa kuna janja janja nyingi sana!!
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa

Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021

Kesho pia Mahakama ya Ilala nayo ( au ya Kigamboni ) ije na tamko la Kuiomba Klabu ya Yanga iwaonye Wachezaji wake kuacha Kuchafua Mazingira na Kuharibu Mazalia ya Samaki kwa Kupenda 'Kunya Kunya' hovyo ndani ya Maji ya Bahari na Vichakani hasa pale tu Mchezaji wao Michael Sarpong akiingia Chooni na Kukaa kwa muda mrefu 'Kunya' na Kuwachelewesha akina Tuisila Kisinda ambaye nae kwa mbio zake huamua 'Kutiririka' zake kwenda Kushusha 'Kimba' majini ( Baharini ) pale Kambini Kwao Avic.
 
Huyo anayejiita sijui wakili wa hiyo kesi ni shabiki lisilojielewa la utopolo
IMG_5911.jpg

Halafu hao utopolo wana deni la zaidi ya mil 400, ambayo ni malipo ya kodi ambalo lilishapitisha muda wake na wala hakuna hatua zilizochukuliwa!
IMG_5910.jpg
 
Mbwembwe nyingi! Hata kodi ya ardhi tu wanashindwa kulipa!
 
Huyo anayejiita sijui wakili wa hiyo kesi ni shabiki lisilojielewa la utopoloView attachment 1752894
Halafu hao utopolo wana deni la zaidi ya mil 400, ambayo ni malipo ya kodi ambalo lilishapitisha muda wake na wala hakuna hatua zilizochukuliwa!
View attachment 1752896
Hii inaleta unafuu kwenye deni la timu ya Simba? Halfu huyo wakili, kajiweka mwenyewe kwa kulazimisha? AU kuna watu walishikiwa mtutu? Yeye kuwa wakili kwenye kesi hiyo, kumesababisha deni hilo? DAWA YA DENI HAIJAWAHI KUWA NYINGINE ZAIDI YA KULIPA
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa

Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
Simba baada ya kutinga robo imeingiza Mara ñgap vile ya hio ml 77?
 
Back
Top Bottom