Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hela ya mbuzi mmoja iyo, hela ya mlo wa matunda wa siku moja kwa MO hiyo ww
Daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ya mbuzi mmoja iyo, hela ya mlo wa matunda wa siku moja kwa MO hiyo ww
Hii inaleta unafuu kwenye deni la timu ya Simba? Halfu huyo wakili, kajiweka mwenyewe kwa kulazimisha? AU kuna watu walishikiwa mtutu? Yeye kuwa wakili kwenye kesi hiyo, kumesababisha deni hilo? DAWA YA DENI HAIJAWAHI KUWA NYINGINE ZAIDI YA KULIPA
Ndio shida ya ushabiki mandazi huo!!yaani kodi ya ardhi kushindwa kuilipa na kutakiwa kuilipa imekuwa hujuma?!!kwenye huo mchakato wa uwekezaji siku mkiujua ukweli ndio mtaona kuwa kuna janja janja nyingi sana!!
Unahaha... jibu swaliWee utopolo tulia, huyo wakili tunamjua vyema na tunajua ni nini kipo nyuma ya pazia, so waka haipi simba shida!
Sasa kama unajua dawa ya deni ni kulipa mbona utopolo yako inadaiwa zaidi ya million 400...!? Imelipa?
Yule Tambwe aliyewapeleka Fifa hadi mkazuiwa kusajili mlishamlipa? Au hujui kuwa utopolo yako imefungiwa kusajili....!?
Hiyo 77M inayosemekana inadaiwa itafanyika review kama ina uhalali hata Monalisa msemaji wa Simba Queen ana uwezo wa kuilipa!
Kwanza Mhe. Said Wambili Sio Wakili Bali Ni M/kiti Wa Baraza La Ardhi na Nyumba Lililoko Mwananyamala, Wilaya Ya Kinondoni. Usichanganye Mambo TafadhariWee utopolo tulia, huyo wakili tunamjua vyema na tunajua ni nini kipo nyuma ya pazia, so waka haipi simba shida!
Sasa kama unajua dawa ya deni ni kulipa mbona utopolo yako inadaiwa zaidi ya million 400...!? Imelipa?
Yule Tambwe aliyewapeleka Fifa hadi mkazuiwa kusajili mlishamlipa? Au hujui kuwa utopolo yako imefungiwa kusajili....!?
Hiyo 77M inayosemekana inadaiwa itafanyika review kama ina uhalali hata Monalisa msemaji wa Simba Queen ana uwezo wa kuilipa!
Said Wambili Sio Wakili na Hayupo Kwenye orodha Ya Mawakili Tanzania, Huyo Ni Mwakilishi Wa kamishina Wa ArdhiHuyo anayejiita sijui wakili wa hiyo kesi ni shabiki lisilojielewa la utopoloView attachment 1752894
Halafu hao utopolo wana deni la zaidi ya mil 400, ambayo ni malipo ya kodi ambalo lilishapitisha muda wake na wala hakuna hatua zilizochukuliwa!
View attachment 1752896
Tuko busy kimataifa, vitu vingine muwe mnatukumbusha.Mbwembwe nyingi! Hata kodi ya ardhi tu wanashindwa kulipa!