Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
MO atawapa mil. 80 na kisha atawaambia KEEP CHANGE wanabaki kutoana roho na iyo mil 3.Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
Kwanza Hakuna Kitu Kinachoitwa MAHAKAMA YA WILAYA YA KINONDONI MKOA WA DAR ES SALAAM (KUPITIA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA) Bali Kuna BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA YA KINONDONI Lililoko KINONDONI MKOA WA DAR ES SALAAMMahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
Ndio shida ya ushabiki mandazi huo!!yaani kodi ya ardhi kushindwa kuilipa na kutakiwa kuilipa imekuwa hujuma?!!kwenye huo mchakato wa uwekezaji siku mkiujua ukweli ndio mtaona kuwa kuna janja janja nyingi sana!!Aisee!.
Naona watu wameanza kumuandama Mo kila kona. Mara mchakato wa uwekezaji wa Club uanze upya na sasa Amri ya kulipia kodi ya ardhi. Deni la ardhi lisipolipwa nasubiri siku ya mdada wa ule uwanja wa Bunju pengine Yanga watafika bei.
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021
Kwanini hawakulipa sasa hiyo hela ya mbuzi ya kutoka mfuko wa shati? KujidhalilishaHela ya mbuzi mmoja iyo, hela ya mlo wa matunda wa siku moja kwa MO hiyo ww
Kwanini hawakulipa sasa hiyo hela ya mbuzi ya kutoka mfuko wa shati? Kujidhalilisha
Haya mwambie huyo tajiri avushe siku 14 bila kulipaTajiri hapangiwi Ndugu au hili hulijui tu?
Hii inaleta unafuu kwenye deni la timu ya Simba? Halfu huyo wakili, kajiweka mwenyewe kwa kulazimisha? AU kuna watu walishikiwa mtutu? Yeye kuwa wakili kwenye kesi hiyo, kumesababisha deni hilo? DAWA YA DENI HAIJAWAHI KUWA NYINGINE ZAIDI YA KULIPAHuyo anayejiita sijui wakili wa hiyo kesi ni shabiki lisilojielewa la utopoloView attachment 1752894
Halafu hao utopolo wana deni la zaidi ya mil 400, ambayo ni malipo ya kodi ambalo lilishapitisha muda wake na wala hakuna hatua zilizochukuliwa!
View attachment 1752896
Simba baada ya kutinga robo imeingiza Mara ñgap vile ya hio ml 77?Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo unaanza leo Aprili 15, 2021