Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

Mo ana ukwasi sana, kumiliki timu inayoongoza kwa mpunga Africa mashariki si kitu ndogo hiyo.
 
Hiyo ni kweli kwenye ukweli tuseme ukweli tu... Daima simba inathamani kuliko yanga, pia brand ya simba ni kubwa na inauzika tofauti na Yanga.
Sio kosa lako, mashabiki wa Nguruwe fc ni mbumbumbu kama alivyotaja kiongozi wao
 
Toa Nguruwe fc weka Yanga hapo! Kikosi tajiri kinasajili Omari wa Njombe na fred vunjabei 😀😀😀
 
Ukiingia tovuti ya African Football League, waliandika toka mwaka jana kabla ya uzinduzi kuwa Simba ndiyo klabu tajiri Afrika Mashariki. Nadhani hizo taarifa bado zipo mule.

African Football League = CAF
Ok ahsante kwa kuniweka sawa
 
Ndiyo faraja pekee iliyobaki kwa mashabiki wa Simba 😀😀😀
 
Ndiyo maisha ya watanzania, sikushangai sana. wajinga hujiita wajanja na wajanja hubaki kuwaangalia tu.
Wewe ni mjinga bahati mbaya haujishitukii unaweza kuniambia Simba anaizidi nini TP Mazembe?
 
Club haiwezi kuwa tajiri kwa kutegemea hisani za muuza magodoro
 
Back
Top Bottom