Klabu ya Simba yatakiwa kuomba radhi kwa tukio linalodaiwa kudhalilisha watu wenye ualbino kwenye tamasha lao

MAISHA hayapo Hivo.

1. Chiba Alikuwa ANACHEZA ya moto Band nani alimdhalilisha????

2.Manara Alikuwa Mc nani alimdhalilisha?????

3. Keysha Alikuwa anaimba nani aliyemdhalilisha????

4. Zungu Alikuwa WASAFI nani aliyemdhalilisha???

MBELE KWA WENZETU
5. De brune na scores nani amewazalilisha.


Angevaa suti nadhani asingeonyeshwa amedhalilishwa.


MTU ANAONESHA KIPAJI CHAKE MNASEMA WAMEMDHALILISHA.

UJINGA UKIZIDI UNAKIWA U TAHIRA.
 
Potelea mbali lakini Tamasha lilifana sana kuliko la kwenu. Haya tusamehe basi
 
Hayo maswali unamuuliza Nani??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
MBUMBUMBU ameongea hapa, kwahiyo Simba walikosa mtu wakachukua albino?
 
Mko tayari kutetea ujinga sababu ya ushabiki!!
 
Zungu amekushushua huku

 
Mbona Haji Manara kila siku anafanya mambo ya hovyo mitandaoni na hadharani na hawajailalamikia Yanga kudhalilisha mazeruzeru?
 
Asingekua albino ingekuaje?
Acha ujinga wewe kuna brand moja ya nguo Marekani walipost picha ya mtoto mwenye asili ya kiafrika halafu kwenye caption wakaandika "cool monkey in the jungle" ..unajua nini kilifuata baada ya hapo? Ile habari ilifika hadi humu jf.
 
Sasa kama wanamlenga manara walitaka tunda man amtumie nani kufikisha ujumbe???..
 
Sio atu ni watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…