Klabu ya Simba yatakiwa kuomba radhi kwa tukio linalodaiwa kudhalilisha watu wenye ualbino kwenye tamasha lao

Acha ujinga wewe kuna brand moja ya nguo Marekani walipost picha ya mtoto mwenye asili ya kiafrika halafu kwenye caption wakaandika "cool monkey in the jungle" ..unajua nini kilifuata baada ya hapo? Ile habari ilifika hadi humu jf.
Mjinga aliyekuzaa
 
So ilitakiwa awe mtu wa aina ipi.mbona sasa wanaanza kijibagua wenyewe.


Yaani hawajioni kuwa ni watu kama watu wengine.

Yaani maana yake angekuwa mweusi na sisi tujitokeze kulalama.

Wamekurupuka hapa.

Yeye alikuwa kazini kama ambavyo mtu yeyote angeweza kufanya hivyo.

Ndio maana hata mlengwa kapiga kimya.
 
Hawa wenzetu mnazidi kuwadumaza,hawana tofauti na watu wa kawaida yaani wasio na Albinisim,Mimi Nina Rafiki yangu ni Albino shuleni tulianzisha ugomvi mjinga alimpiga jamaa mpaka akapewa Jina la nyapara dormitory.Ni wenzetu Kama kalipwa kuna shida gani.je angevaa Pampas Tundaman tungesemaje.
 
Brother Ali, Yellowman, Johnny Winter, Salif Keita, Victor Varnado etc.
 
Kwenye number 5 fanya utafiti kwanza. Hao uliowataja hawana albinism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…