Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Habibu Kyombo

Kyombo akisaidiana na Phiri pale mbele naona magoli ya kutosha.
 
Naipingeza sana simba kuthamini vya ndani kwani vina manufaa hata kwa Taifa Stars. Si vibaya Yanga tufanye hivi pia
 
Nimeangalia video fupi ya magoli aliyofunga Kyombo kule twitter, jamaa anajua, ana jicho la goli, yupo composed hana papara, aliwagonga mpaka utopolo.

Anafunga nje ya box, ndani ya box, anajua kufunga kwa free kicks, mpaka kisigino, yuko vizuri sana, muhimu apewe ushirikiano tu na wenzake
 
Stress zitawauwa kutete ujinga! Unalipia Simba App mnasubiri kutangaziwa Habibu Kyombo then after few seconds inawekwa kwenye social medias nyingine tena bure.! Upuuzi mtupu.
Mbona hujaeleweka. Wamelipia hawajipia? Je simba imepata wanachokitaka hawajapata hata kama wataweka kwenye other platforms?.wameshapta wanachokitaka watu wako na bness kwa kichwa
 
Mpole mchukueni au mmemnunia kisa kamzidi manyele
 
Watu wasave hii comment, atapigwa mtu mawe hivi karibuni. Barbra ameona mbali.
 
Yule dogo ni bonge la mchezaji ni vile mmejaa ushamba hamjui hata ubora wa mtu.
Sijawahi kuona mchezaji ambaye mipira yake ya adhabu au kona ina hatari kama Calinhos hapa nchini.
Na sijaona bado mtu alikuwa na vision kama yule. Alikuwa ni mzuri sana jamaa, angekuwa ndo anachezesha Yanga ya sasa ingekuwa hatari zaidi
 
Wanaompinga sio kwamba hawazioni namba za Kyombo, ila wanapinga tu kwa kuwa ndo wamezoea, kwa sababu kupinga ni jambo rahisi yaani..!

Mbeya Kwanza FC.

Mzunguko wa pili

Mabao 6

Assist 3

Mechi 15

Yaani makadirio kama angeanza msimu mzima huenda angemaliza na idadi ya wastani ya mabao 10-15
 
Ila simba mtaisoma namba
Njia tuliopita yanga na nyinyi mnapita hukohuko
Tulisajiri top scorer WA Uganda, Juma Balinya, nyinyi mmemchukua Cesar sijui
Tulibeba wakina Tariq seif, nchimbi, waziri junior na kumrudisha ngasa,ninyi Sasa hv mnapambana na kina kyombo huku mkihaha kumrudisha kichuya
Mna kama misimu miwili ya kulia midomo juu kama mbweha
 
Natofautiana nawe kabisa,Mayele ni mchezaji wa pekee huwezi mlinganisha na Mpole.

Ukizungumzia viuongo waliomzunguka,zungumzia na mabeki wanavyomkaba Mayele.

Mayele anafunga katika mazingira magumu sana huwezi kumlinganisha na akina Mpole.
Wanajisahaulisha kuwa Mayele ndio top scorer kule Congo kabla hajaja huku. Mayele hana magoli ya penati kama Mpole.
 
Nimegundua waTanzania wengi bado mapoyoyo sana. So nyie raha yenu mlitaka wa nje!?? Mbona mmejaa ushamba sanaa
Hujui mpira...ungekaa kimya. Simba kwa hadhi iliyonayo sio ya kuokota wachezaji
 
Wanajisahaulisha kuwa Mayele ndio top scorer kule Congo kabla hajaja huku. Mayele hana magoli ya penati kama Mpole.
Sema Mayele hajui kupiga penalt ndio maana hana magoli ya penalti, full stop.
 
Yule dogo ni bonge la mchezaji ni vile mmejaa ushamba hamjui hata ubora wa mtu.
Sijawahi kuona mchezaji ambaye mipira yake ya adhabu au kona ina hatari kama Calinhos hapa nchini.
Ile ilikuwa pure academy oriented
Alikuwa anajua where to receive and where to release the ball
 
Ndo yale ya Yanga na yule muangola wao kale keupe kembamba..endeleeni kuwasajili hao wa kutoka ulaya tuacheni sisi tupambane na wa ndani tutaona mwisho wa ligi
yule dogo sio level za bongo anacheza mpira wa darasani labda unaongelea ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…