Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
- #21
ulitaka waiweke wapi? kampuni yenyewe ya kikenya sioni shida kuweka hq Kenya...Sportspesa walikosea sana kuweka hq zao Kenya especially kwa Mambo ya soccer labda ingekua riadha