Klabu ya Uingereza ya Everton kucheza mechi ya kirafiki nchini Tanzania kwa hisani ya Sportpesa

Klabu ya Uingereza ya Everton kucheza mechi ya kirafiki nchini Tanzania kwa hisani ya Sportpesa

Sportpesa was Kenya's number 13 best company in 2017 na vile watz wameitii.
d068b764823422cfa88717b2a4a9004b.jpg

And its headquarters is Nairobi and Liverpool.. Dar bado office tu
9db8e8721d52203122a3a8b5cdcd297d.jpg
 
1495956952961.png
Nyie wakenya kwa uongo hamjambo ... Mnasema sport Pesa ni yenu hahaha
 
wewe sio mkenya halisi ndg wacha MK254 aje kama hajaona bandiko lako mazee
 
Kwanini timu zenye udhamini kutoka Afrika zinashuka daraja?ref hull city,Sunderland usishangae tena mwakani Everton wakashuka japo ni ngumu kidogo.
 
Hiyo haipo kwenye list yao hizo labda ni wewe uliyedhamini usiwapakazie sportspesa View attachment 515488
HHizi ndio teams ambazo sportspesa wamezidhamini mpaka dakika hii.
Screenshot_20170528-131806.png


Najua hii inakuuma sana..lol...najua hata labda humjui CEO wa Sportpesa...tuo povu machoni...ndiye huyo Captain Karauri mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Now its so clear ni wivu tu... Sportpesa ni ya Wakenya... why is this even a discussion?
 
Back
Top Bottom