Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
- #81
hapo nakubaliana nawe...nitaftie bibi kwanza wa tz...nipe namba nirushe mistari one twoHatea wanawake wazuri hatuna!?huu sasa ushabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo nakubaliana nawe...nitaftie bibi kwanza wa tz...nipe namba nirushe mistari one twoHatea wanawake wazuri hatuna!?huu sasa ushabiki.
Unataka type gani na rangi gani asee nikufanyie mpango..na madem wa huku wanvyopenda sifa,ukizingatia na nyie ni wapenda sifa classified, umkosi.hapo nakubaliana nawe...nitaftie bibi kwanza wa tz...nipe namba nirushe mistari one two
Unataka type gani na rangi gani asee nikufanyie mpango..na madem wa huku wanvyopenda sifa,ukizingatia na nyie ni wapenda sifa classified, umkosi.
Uwe unaona aibu muda mwingine, Tz tuna vitu vingi sana ambavyo tunaweza kujisifia kuwa navyo lakini kwa sababu hatupendi sifa na majigambo ya kitoto km Wakenya tunapotezea tusifa hampendi ama ni kwasababu hamna chochote cha kusifia...![]()
![]()
haya anza sasa....vitu viwili tu ambavyo Kenya haina....unajua ni kawaida ndugu kumsikilia wivu mwenzake aliyefaulu zaidi...especially kwanza kama nyie ndio mnafaa kuwa mbele ya Kenya ukilinganisha rasilimali mlizo nazo...Kenya nusu ni desert esp kule karibu na Somalia..tungekua na nusu tu ya Tanzania, tungekuwa sasa hivi tunaimbwa top 4 largest economy in Africa...Uwe unaona aibu muda mwingine, Tz tuna vitu vingi sana ambavyo tunaweza kujisifia kuwa navyo lakini kwa sababu hatupendi sifa na majigambo ya kitoto km Wakenya tunapotezea tu
BBC News: Everton set for pre-season friendly in Tanzania
Everton set for pre-season friendly in Tanzania
![]()
Everton will be playing either a Kenyan or Tanzanian team in Dar-es-Salaam
Everton will become the first ever English Premier League team to play in Tanzania when they go there for a pre-season friendly.
The match will be played at Dar-es-Salaam's National Stadium on 13 July.
They will play the winners of the inaugural SportPesa Super Cup which will feature four teams from Kenya's Premier League and four from Tanzania's top flight.
Kenya-based betting company SportPesa are Everton's new shirt sponsors.
Hahahaaa mnavyopenda kujifarijj ndio maana mzee Mugabe aliwahi kusema hakuna taifa lenye watu waongo na wajanja wajanja kama Kenya kwa Africa, hakukosea kabisahaya anza sasa....vitu viwili tu ambavyo Kenya haina....unajua ni kawaida ndugu kumsikilia wivu mwenzake aliyefaulu zaidi...especially kwanza kama nyie ndio mnafaa kuwa mbele ya Kenya ukilinganisha rasilimali mlizo nazo...Kenya nusu ni desert esp kule karibu na Somalia..tungekua na nusu tu ya Tanzania, tungekuwa sasa hivi tunaimbwa top 4 largest economy in Africa...
wajanja ndio kabisa! yaani mnaibiwa hata mpaka watalii....heri kuwa mjanja kuliko kuwa mjinga..Hahahaaa mnavyopenda kujifarijj ndio maana mzee Mugabe aliwahi kusema hakuna taifa lenye watu waongo na wajanja wajanja kama Kenya kwa Africa, hakukosea kabisa
tumeona tusaidie maskini ...Na mbona wasicheze Nairobi? Hamna viwanja vinavyokidhi sio? Aibu Mungiki
Halafu mnajitamba mna infrastructure! Labda ile sewage ya Kibera!tumeona tusaidie maskini ...
Huko Nairobi hali ngumu sana ndio maana mbakuja kujazana huku kwenye neema, na uhakika ukija tz wewe Kenya utaisahauwajanja ndio kabisa! yaani mnaibiwa hata mpaka watalii....heri kuwa mjanja kuliko kuwa mjinga..![]()
![]()
kwanza kama sio Magu, tubgewaibia market zote hapa EAC...yaani mna uwoga wa kufikiria...na uchawi...![]()
vipi kuhusu albino? mliacha kuwasaka? Meanwhile In nairobi, someone is working hard...lakini naskia mlipata soko la mihogo![]()
hongera kwa hilo![]()
![]()
dah!Huko Nairobi hali ngumu sana ndio maana mbakuja kujazana huku kwenye neema, na uhakika ukija tz wewe Kenya utaisahau
tunajaribu tu kama nchi zingine za Kiafrika...vipi kuhusu Tandale? mlimaliza infrastructure huko?Halafu mnajitamba mna infrastructure! Labda ile sewage ya Kibera!
Hzi akili za vyuraGold ni yenu ama ni ya Acacia? [emoji28]
[emoji23] [emoji23] eti Tz ni LDC kweli nyie vilaza, kwa hiyo Ke ni DC? Sasa unakosema ni LDC mnakuja kufanya nn? Mmejazana huku hamtaki kabisa kurudi kwenu halafu mwajidai DCdah!
maajabu hayo! mkenya afanye nini LDC![]()
[emoji23] [emoji23] eti Tz ni LDC kweli nyie vilaza, kwa hiyo Ke ni DC? Sasa unakosema ni LDC mnakuja kufanya nn? Mmejazana huku hamtaki kabisa kurudi kwenu halafu mwajidai DC