Klabu ya Uingereza ya Everton kucheza mechi ya kirafiki nchini Tanzania kwa hisani ya Sportpesa

Sportspesa walikosea sana kuweka hq zao Kenya especially kwa Mambo ya soccer labda ingekua riadha
ulitaka waiweke wapi? kampuni yenyewe ya kikenya sioni shida kuweka hq Kenya...
 
get your facts together about Sportpesa. then come back again
 
sadly you don't have the bragging rights juu ni kampuni ya Kenya ndio inawadhamini.kama msaada vile.hehee
alafu Fanya research before uropoke.unajiabisha kwa mambo madogo,sport pesa imedhamini team nyingi Kenya...acha aibu bana
 
Sportpesa imethamini timu zifuatazo za kenya

1. Gor Mahia - 3.5m usd
2. Afc leopards - 1.5m usd
3. Nakuru all stars
4. Kenya 7s rugby - 6m usd

Halafu ndio official sponsors was

1. Kenya premier league - 4.36m USD
2. Basketball league
3. Kenya Safari rally
4. Kenya boxing league

Etc.


Has upgraded city stadium at a cost of 1m USD
 
sadly you don't have the bragging rights juu ni kampuni ya Kenya ndio inawadhamini.kama msaada vile.hehee
alafu Fanya research before uropoke.unajiabisha kwa mambo madogo,sport pesa imedhamini team nyingi Kenya...acha aibu bana
Sasa mbona unalia??
 
Hiyo haipo kwenye list yao hizo labda ni wewe uliyedhamini usiwapakazie sportspesa
HHizi ndio teams ambazo sportspesa wamezidhamini mpaka dakika hii.
 
Reactions: SDG
Mwaka ujao ni zamu ya kenya nazan kenya watapelekewa timu kubwa zaid
Nyie labda mletewe team ya kurusha tufe, hamna kitu huko zaidi ya kukimbia kama swala aliyepata ugonjwa wa mdondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…