Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.

Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.

Snapinsta.app_449435406_18327198853135476_8810613571831105336_n_1080.jpg
 
Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.

Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
 
Back
Top Bottom