Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwisha habari yakeRasmi Chama nI mwananchiView attachment 3030257
Hatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloniNyie hamuogopi?
Cc Mtoto halali na hela
Kikubwa ni mwananchi japo jamaa inaonekana kusoma wala kuandika hawezi. Ona alivyoshika peni hapo.Hatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloni
Kwani aliwahi kuifunga Yanga..?Hatimaye wimbo wenu umetimia ila Chama hatoifunga Simba misimu yote atakayokuwa huko utopoloni
Sana tuKwani aliwahi kuifunga Yanga..?
Naona mwezi unataka uuanze na kubishana, kila la kheri.Sana tu
Kolo unagugumia maumivu, hahaUsajili wa kuwakomoa Simba na kuwafurahisha mashabiki.
Refer mechi ya July 2020 tarehe 12Naona mwezi unataka uuanze na kubishana, kila la kheri.
Tutafanyaje ila viongozi wetu ndio wameamua, sijajua huu usajili ni wakiufundi au kumkomoa mtani.Rasmi Chama nI mwananchiView attachment 3030257
Hapana sina maumivu nimesema uhalisia, au wewe unapma sio uhalisia?Kolo unagugumia maumivu, haha
kumbe nawewe ni mwananchiMakolo mwezi wameuanza kwa maumivu, hahahah