Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani ni mwanayanga ndio kaumia kumbe ni kolowizard linawapangia wanaume cha kufanya!Utopolo mmepanic sana! Naona unavyichachafya baada ya kuona huu uzi!
Tapika tu!!!
Mwamba huyu hapa!
Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.Deadline ni lini? Kuna Klabu imesajili wachezaji chini ya kumi unadhani ndiyo imetoka hiyo.
Yanga wapo sahihi kabisa kuchelewesha majina.
Yatapelekwa majina sahihi
Naona umetunza picha ya mmeo kwenye simu yako
Labda niku ulize wewe dada, kuna mwaka Yanga haija wahi kucheza ligi sababu ya kuchelewesha majina?Kama kuna club imesajilinwachezaji chini ya 10, ndio iwe sababu ya yanga kutokusajili hata mmoja?
Usahihi wa Yanga kuchelewesha majina ni upi?
Unaposema yatapelekwa majina sahihi ina maana Yanga haina majina sahihi ya wachezaji wake tokea dirisha la usajili lifunguliwe hasa wale wanaoendela na mikataba yao?
Mimi naona ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya tu, maana hata maswali niliyokuuliza sidhani kama una uwezo wa kuyajibu kwa akili zako finyu!
Yanga inawaumiza vichwa sana, si mnasema imefungiwa kusajili sasa hayo majina 20 yametoka wapi?Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.
Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.
Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao!
Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k!
Tunajiuliza kwani wachezaji waliotangazwa kwenye page zao hawawaamini?
Je, wale waliokuwa nao msimu uliopita ambao hawajamaliza mikataba na hawana mpango wa kuwaacha inakuwaje wasiwe kwenye data base hadi muda ambao TFF wametoa list ya Club zilizosajili?
Wanaona kuchelewa kusajili ni ujanja na akili siyo? Kwa hiki walichokifanya viongozi wa Yanga ni uzembe wa hali ya juu!
Hata kama bado siku za kukamilisha zimebaki nyingi, ilitakiwa wake wachezaji waliotangazwa kwenye page zao na wale wanaoendelea na mikataba yao wawe wameingizwa kwenye data base za mamlaka husika!
Hili la Yanga kuchelewesha usajili si suala la kushangilia!
Sio ana Akili ndogoNina wasiwasi na uwezo wa ubongo wa mtoa mada... Inaonesha ana akili ndogo sana ya kufikiria
Haya jione ulivo mpumbavu kitu bado siku 10 ushafungua uzi unalaumu viongoziComment yako inadhihirisha ulivyo zwazwa na kilaza!
Unahangaika na mwehu achana naeHaya jione ulivo mpumbavu kitu bado siku 10 ushafungua uzi unalaumu viongozi View attachment 2695065
utakuwa unatokea mbagala wewe?Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.
Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao!
Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k!
Tunajiuliza kwani wachezaji waliotangazwa kwenye page zao hawawaamini?
Je, wale waliokuwa nao msimu uliopita ambao hawajamaliza mikataba na hawana mpango wa kuwaacha inakuwaje wasiwe kwenye data base hadi muda ambao TFF wametoa list ya Club zilizosajili?
Wanaona kuchelewa kusajili ni ujanja na akili siyo? Kwa hiki walichokifanya viongozi wa Yanga ni uzembe wa hali ya juu!
Hata kama bado siku za kukamilisha zimebaki nyingi, ilitakiwa wake wachezaji waliotangazwa kwenye page zao na wale wanaoendelea na mikataba yao wawe wameingizwa kwenye data base za mamlaka husika!
Hili la Yanga kuchelewesha usajili si suala la kushangilia!
KUMANISHA NINI!!Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.
Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao!
Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k!
Tunajiuliza kwani wachezaji waliotangazwa kwenye page zao hawawaamini?
Je, wale waliokuwa nao msimu uliopita ambao hawajamaliza mikataba na hawana mpango wa kuwaacha inakuwaje wasiwe kwenye data base hadi muda ambao TFF wametoa list ya Club zilizosajili?
Wanaona kuchelewa kusajili ni ujanja na akili siyo? Kwa hiki walichokifanya viongozi wa Yanga ni uzembe wa hali ya juu!
Hata kama bado siku za kukamilisha zimebaki nyingi, ilitakiwa wake wachezaji waliotangazwa kwenye page zao na wale wanaoendelea na mikataba yao wawe wameingizwa kwenye data base za mamlaka husika!
Hili la Yanga kuchelewesha usajili si suala la kushangilia!
Bado siku nyingi (zaidi ya 10) haraka ya nini?Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.
Akili ndogo na ya kitoto kamwe haiwezi kuongoza akili kubwa.Kama kuna club imesajilinwachezaji chini ya 10, ndio iwe sababu ya yanga kutokusajili hata mmoja?
Usahihi wa Yanga kuchelewesha majina ni upi?
Unaposema yatapelekwa majina sahihi ina maana Yanga haina majina sahihi ya wachezaji wake tokea dirisha la usajili lifunguliwe hasa wale wanaoendela na mikataba yao?
Mimi naona ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya tu, maana hata maswali niliyokuuliza sidhani kama una uwezo wa kuyajibu kwa akili zako finyu!
Haya jione ulivo mpumbavu kitu bado siku 10 ushafungua uzi unalaumu viongozi View attachment 2695065
Ulichokiandika umekielewa kwanza wewe mwenyewe? Yaani unalalamika kuchelewesha wakati jambo bado halijapita deadline. Kuchelewa kwa kitu ni hali ya kupitiliza deadline, kama deadline haijavuka hauwezi kusema kuwa limecheleweshwa. Azam ana wachezaji zaidi ya 25 mbona hauwapigii kelele kuwasajili wachezaji saba pekee?
Kazi ya kusajili wachezaji kwenye system ni kazi ya siku moja tu, wala sio kazi kubwa msikuze mambo madogo yakaonekana kama ni ishu kubwa. Wacha viongozi wa Yanga waweke kila kitu sawa wakiingiza wachezaji wameingiza kwa uhakika sio yale ya kuanza kuangaika kumnyofoa fulani ili tumuweke fulani. Wakiwa tayari wameshajiridhisha watawaweka wachezaji kwenye mfumo.