vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Ila we jamaa una mapungufu makubwa kichwani sio bure nimejaribu kufatilia hoja zako ni bure kabisa. Unajuaje kama anayesafiri tarehe 29 ni mvivu na mzembe kana kwamba vile wewe ndiye mke wake unayeyajua majukumu yake.Ila utofauti wa aliyesajili tarehe 1 na 29 ni kwamba aliyefanya hivyo tarehe 29 ni mzembe na mvivu!!