Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

Deadline ni lini? Kuna Klabu imesajili wachezaji chini ya kumi unadhani ndiyo imetoka hiyo.
Yanga wapo sahihi kabisa kuchelewesha majina.
Yatapelekwa majina sahihi
Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.
 
Labda niku ulize wewe dada, kuna mwaka Yanga haija wahi kucheza ligi sababu ya kuchelewesha majina?
 
Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.
Yanga inawaumiza vichwa sana, si mnasema imefungiwa kusajili sasa hayo majina 20 yametoka wapi?
 

Ulichokiandika umekielewa kwanza wewe mwenyewe? Yaani unalalamika kuchelewesha wakati jambo bado halijapita deadline. Kuchelewa kwa kitu ni hali ya kupitiliza deadline, kama deadline haijavuka hauwezi kusema kuwa limecheleweshwa. Azam ana wachezaji zaidi ya 25 mbona hauwapigii kelele kuwasajili wachezaji saba pekee?

Kazi ya kusajili wachezaji kwenye system ni kazi ya siku moja tu, wala sio kazi kubwa msikuze mambo madogo yakaonekana kama ni ishu kubwa. Wacha viongozi wa Yanga waweke kila kitu sawa wakiingiza wachezaji wameingiza kwa uhakika sio yale ya kuanza kuangaika kumnyofoa fulani ili tumuweke fulani. Wakiwa tayari wameshajiridhisha watawaweka wachezaji kwenye mfumo.
 
utakuwa unatokea mbagala wewe?
ovyo ovyo ndiyo nini sasa?
jamani mnashindwa hata kujua kuandika na kuzungumza lugha ya taiaf kwa ufasaha japo kidogo
 
KUMANISHA NINI!!
 
Baada ya TFF kutoa ile list yanga fasta wameingiza majina 20, utagundua watanzania bado tuna mambo ya kusubiri dk za mwisho.
Bado siku nyingi (zaidi ya 10) haraka ya nini?
 
Akili ndogo na ya kitoto kamwe haiwezi kuongoza akili kubwa.
Kenge wewe
 
Akili ndogo na ya kitoto kamwe haiwezi kuongoza akili kubwa.
Kenge wewe

Sasa matusi ya nini? Ama ndio umepanic kwa hasira uchwara…?
Wewe mpumbavu sana!!
 
Haya jione ulivo mpumbavu kitu bado siku 10 ushafungua uzi unalaumu viongozi View attachment 2695065

Wewe ndiye pumbavu zaidi, tena zwazwa kabisa!
Unaona jinsi hao viongozi wa Yanga walivyo wa hovyo na vihiyo!
Wamekimbilia kuapdate taarifa baada ya TFF kutoa hiyo list ya awali!
Wewe unaona ni ujanja sasa?
Ndio maana mashabiki wa Yanga mliwahi kuitwa manyani!!
 

Wewe ndiye ukisome ukielewe!
Kilaza kama wewe huwezi kuelewa kilichoandikwa maana kimekuzidi kimo!!!
Unasema eti viongozi wa Yanga acha waingize wachezaji kwa uhakika, ina maana kumbe waliopo hawana uhakika nao, eti wasihangaike kumnyofoa fulani na kumuweka fulani, maanake ni kwamba hawana uhakika na wanachofanya, ndio maana hao viongozi nasema ni wa HOVYO kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…