Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

Kwahiyo ulivo mjinga unadhani viongozi wa Yanga wasingewasajili wachezaji? We ni mburula kenge kabisa
 
Kwahiyo ulivo mjinga unadhani viongozi wa Yanga wasingewasajili wachezaji? We ni mburula kenge kabisa

Ni wapi nimesema viongozi wa yanga wasingesajili wachezaji??
Unazidi kujipnyesha ni kwa namna gani ulivyo kilaza na mpuuzi zaidi!!
Akili yako imejaa mavi tu kama si matope!!
Kilaza mkubwa wewe, unashindwa kuelewa!!
Pumbavu kabisa wewe!
 
Wewe ndio wa ovyo kwasababu unanifanyia unajua usiyoyajua. Usajili bado haujafikia kikomo, hivyo lazima kutakuwa na mazungumzo yanayoendelea katika wachezaji waliopo ikiwa kuongezeana mikataba au kuvunjiana mikataba na pia lazima kutakuwa na mazungumzo kwa wachezaji wengine wapya wanaotaka kuwaleta klabuni. Hivyo hakuwezi kufanya kurahisisha uwekaji wa majina kwenye system mpaka watakapoona kila kitu kimekaa sawa.
 
Yaani hapo wanategea baadae waje kulalamika TFF wameshawajua wanatoa taarifa mapema ili likija kiwakuta la kuwakuta mbeleni TFF isionekane imewaonea maana kwa kulalamika wapo vizuri
 
Sasa matusi ya nini? Ama ndio umepanic kwa hasira uchwara…?
Wewe mpumbavu sana!!
Kwani kenge humjui?
Ndiyo wewe.
Unaandika ili upate umaarufu kupitia wananchi? Si rahisi kihivyo.
Kenge wewe.
 
Kwani kenge humjui?
Ndiyo wewe.
Unaandika ili upate umaarufu kupitia wananchi? Si rahisi kihivyo.
Kenge wewe.

Nani kakwambia anatafuta umaarufu hapa?
Labda wewe ndiye unayetafuta umaarufau maana hata id yako bado mbichi sana!
Wewe naona umeijua jf hivi majuzi, unaandika andika utumbo kama vile huku ni facebook!!
Inaonyesha wewe ni mtoto mdogo tu!!
Pumbavu kabisa wewe!!
 
kati ya timu zenye uongozi bora hapa nchini ya kwanza ni yanga. injinia ataifikisha yanga mbali sana na itaheshinmika kuliko hata simba.
 
Acha kuleta umbumbumbu wako kama jambo huelewi kukaa kimya si dhambi
 
utakuwa unatokea mbagala wewe?
ovyo ovyo ndiyo nini sasa?
jamani mnashindwa hata kujua kuandika na kuzungumza lugha ya taiaf kwa ufasaha japo kidogo
Wewe umetokea wapi sasa?
Yaani unajifanya unajua kukosoa wakati wewe mwenyewe kilaza tu!
Angalia hicho ulichoandika "taiaf" ni kitu gani?
Nikujulishe tu, "ovyo ovyo" ni maneno sahihi kabisa ya kiswahili kama unazidi kuleta ubishi leta kamusi yenye masahihisho ya hayo maneno!
 

Yaani hadi kufika tarehe ambayo TFF ilipotoa ile list ina maana bado Club ilikuwa haijajua ni nani aondoke ama ni nani abaki?
Kwa wale waliosajiliwa ina maana timu nayo ilikuwa haina uhakika nao?
Hebu acha kutetea upuuzi na upumbavu maana hata wewe upo katika hilo kundi la wa ovyo! Club ilishindwaje kuanza kuwaingiza wale ambao tayari ilikuwa inafahamu kwamba watakuwa nao msimu huu mpya?
Mnakuja na hoja dhaifu eti suala la kuwasajili ni la siku moja tu, hivyo bado muda upo!
Sasa kama case ndio hiyo mbona baada ya taarifa ya TFF kutoka Club iliupdate taarifa kesho yake na ndani ya muda mfupi TFF ikatoa taarifa mpya kuwa Yanga imesajili wachezaji 20+? Unataka kusema ndani ya ile siku moja club iliweza kufanya hayo makubaliano na wachezaji kama ulivuoleta utetezi wako??
Kama vipi Kama hoja zako zinngekuwa na mashiko Yanga isingeupdate taarifa kama ilivyofanya, ingesubiri basi siku mbili kabla ya usajili kufungwa ndio isajili!!
Kubali tu kuwa Yanga ilikuwa ishaanza kuzembea, taarifa ya TFF ikawaamsha, ndio maana ili kuepuka fedheha na aibu ikaupdate taarifa fasta maana tayari ilikuwa aibu!!
Period.
 
Yaani hapo wanategea baadae waje kulalamika TFF wameshawajua wanatoa taarifa mapema ili likija kiwakuta la kuwakuta mbeleni TFF isionekane imewaonea maana kwa kulalamika wapo vizuri
Unalia nini sasa tulia mtoto mzuri
 

Unasema kuwa Yanga imeshaanza kuzembea, je ndio mara yao ya kwanza kushiriki michuano ya CAF? kiasi kwamba hawajui wajibu wao katika maswala ya usajili?

Tukio lililofanywa na TFF lilileta taharuki kwa wapenzi wa soka kiasi kwamba kila mmoja akaamini ni kweli Yanga imefungiwa usajili, ndio maana uongozi ukabidi kutoa sintofahamu hiyo kwa vitendo

Wewe ndio wa ovyo na mpuuzi kwasababu unataka kila kitu kifanyike unavyotaka wewe. Unasiku 11 mbele za kufanya jambo, na jambo lenyewe ni la masaa kadhaa tu wala halina tabu kufanyika lakini unashupaza shingo utafikiri kazi nzito kiasi kwamba hakiwezi kufanyika ndani ya siku moja au mbili za mwisho. Na ili uone ni ishu ndogo, ndani ya dakika kadhaa wachezaji 21 wamesajiliwa, ndio ujue wewe ni mpuuzi kiasi gani kukomalia kitu kidogo kisichochukua muda kufanyika wakati kuna takribani siku 11 mbele
 
mwisho wa usajiri ni tarehe 30 alie submit majina tarehe 1 na tarehe 29 wote wapo ndani ya mda mambo mengine yasikupuasue kichwa
 

Wee fala kweli, hata hujielewi!!
Wangeacha sasa hata hao wachezaji 21 walikimbilia kuwasajili wa nini?
Unajichanganya changanya tu, mara useme kuna makubaliano yalikuwa yakifanyika kuangalia nani asajiliwe nani aachwe, mara umekuja na lingine jipya la kuondoa sintofahamu ya kufungiwa..!! Yaani unajikanyaga tu!
Kiufupi hujielewi wapi usimamie kuwatetea hao viongozi wako wa ovyo!
Kiufupi akili huna!!! Umejaa upumbavu huko kichwani!!
 
Sawa mkuu, mimi akili sina. Wewe mwenye akili nyingi unashindwaje kujua maana na matumizi ya deadline? Unakuja kulalamikia kitu ambacho hata kikomo chake bado?
 
Sawa mkuu, mimi akili sina. Wewe mwenye akili nyingi unashindwaje kujua maana na matumizi ya deadline? Unakuja kulalamikia kitu ambacho hata kikomo chake bado?

Kwa hiyo kwa sababu kuna deadline ndio kila kitu kifanyike muda mfupi baada ya deadline? Watu wavivu na wazembe wa ovyo ovyo, ndio hupendelea kufanya vitu ule muda wa mwisho kabisa kwa sababu ya deadline!!
Huo ni uzembe na ushamba!!!
Watetezi wa mambo kama hayo ni watu ovyo, wavivu na wapumbavu!
 
mwisho wa usajiri ni tarehe 30 alie submit majina tarehe 1 na tarehe 29 wote wapo ndani ya mda mambo mengine yasikupuasue kichwa

Ila utofauti wa aliyesajili tarehe 1 na 29 ni kwamba aliyefanya hivyo tarehe 29 ni mzembe na mvivu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…