Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

Attachments

  • IMG_20230723_120507.jpg
    48.7 KB · Views: 3
  • IMG_20230723_121532.jpg
    15.6 KB · Views: 3
Sawa mbumbumbu

Angalia ulivyo mpumbavu!
Yaani kumbe kuandika hujui, kusoma hujui!Nenda juu kwenye comment yako uangalie sehemu yenye red, kisha ulinganishe na hiki ulicholeta hapa!!
 
Uzi wako ni mchafu na wa KITOTO mnoo. Tatizo jf imevamiwa na vitoto vya 2000.
We need GT in here. Kaa pembeni na mitusi yako,kenge wewe.
 
Angalia ulivyo mpumbavu!
Yaani kumbe kuandika hujui, kusoma hujui!Nenda juu kwenye comment yako uangalie sehemu yenye red, kisha ulinganishe na hiki ulicholeta hapa!!
Sawa mbumbumbu
 
Wangekuwekea majona kusingekuwa na maana ya Utambulisho pale taifa.
 
Uzi wako ni mchafu na wa KITOTO mnoo. Tatizo jf imevamiwa na vitoto vya 2000.
We need GT in here. Kaa pembeni na mitusi yako,kenge wewe.

Wewe ni wa lini? Hebu kuwa na heshima dogo!
Unachojua ni hilo neno la "kenge" tu, ambapo yaonyesha unaleta tabia za facebook humu!!

Id yako bado mbichi sana dogo, unaleta njia dhaifu za kujihami humu? Then wewe unajiona upo kundi la hao GT?
Wewe nimeshakuambia ni "mpumbavu" tu, na hilo wala si tusi!!
Narudia wee dogo ni mpumbavu!
Period!
 
Unania watu kisa dada yako kakwambia ukajitegemee
 
Inaelekea una uzoefu mkubwa wa vitoto vyenzako huko Facebook!
GT like me will never be found there.
Eti ld ni mbichi ,unazijua zote?
Achana na timu yetu kubwa.
Kama jana Mkude alikulewesha kwa vyenga vyake ,nenda kajinyonge,
Kenge wewe.
 
Anha kumbe unazo id nyingine siyo?
So hii ulifungua kwa ajili ya kutukana watu…?!!
Ulivyompumbavu angalia majibu yako hapa

Halafu eti unajiita GT??
Mpumbavu kabisa wewe, tena juha na taahira wewe!
Hilo neno lako la “kenge” mbona hata halina jipya?
Kwa taarifa yako utajinyonga wewe kwa upumbavu wako!
Poor you…!!!
Pathetic moron!!!
 
Unahangaika na Yanga utadhani unaumwa ukurutu!
Katibiwe basi.
Kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…