Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte.
Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Simba na alitajwa pia kujiunga na timu hiyo.
Huu ni utambulisho wa kwanza wa klabu ya Yanga tangu lilipofunguliwa dirisha hili kubwa la usajili.
Soma Pia: Tetesi: - Yanga imemsajili kiungo Balla Musa Conte kutoka CS SFAXIEN ya kutoka Tunisia