Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

Sikiliza mkuu na wengine wanaobisha ujinga. Hapa duniani, lengo la kila timu ni kuwa bingwa wa ligi inayoshiriki. Katika harakati hizo za kugombea ubingwa, kila timu ina maintain wachezaji wake wazuri ili wafanikiwe kutwaa ubingwa year in year out. Huwezi kushindana kugombea ubingwa ukauza wachezaji wako wazuri hata siku moja. Narudia, huyu dogo ni wa kawaida sana hana lolote na hata hapa Bongo tunao wachezaji wenye uwezo zaidi yake sema tu hapa Bongo mashabiki na viongozi wengi wa mpira si wataalam wa mpira ni mashabiki tu wa kufuata upepo. Hili pia linaonekana hata kwa hawa wanaoitwa wachambuzi wa mpira. Unakuta mtu anamchambua fulani kuwa bonge la mchezaji wakati hana lolote, unabaki kujiuliza huyu mtu ni mchambuzi na anayasema haya kweli? Bongo tuna matatizo sana.
Nimekumbuka mchambuzi mmoja alivyokuwa anamsifia ikangalombo😂
 
Back
Top Bottom