G
guest-1787677255
Guest
Mzee Kaduguda alikazia kauli ya Rage. Nami nakazia kauli ya Rage tena kuwa wewe ndio kiongozi wa Mambumbumbu hapo Msimbazi.Huyu jamaa amecheza mechi sita za CS Sfaxien katika CAF CC, sijaona kipya kwake maana walimaliza nafasi ya mwisho kwa kufungwa mechi tano na kushinda moja. Pia kwenye ligi yao walimaliza nafasi ya saba. Labda aling'ara kwao, lakini CAF hadi sub alikuwa anafanyiwa
Unapima kiwango cha mchezaji kwa team performance?
Hakika Rage alikuwa sahihi.