KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.







images - 2022-05-05T195922.188.jpeg
 
Ni sawa na kusema Dar Express bonge la basi, KLM ni shirika na siyo aina ya ndege, Bonge la ndege ulipaswa kutaja aina ya ndege uliopanda inayoendeshwa na Shirika la klm kama ni Air Bus (type gani), Boeing type gani nk. got it ?
 
Ni sawa na kusema Dar Express bonge la basi, KLM ni shirika na siyo aina ya ndege, Bonge la ndege ulipaswa aina ya ndege uliopanda inayoendeshwa na Shirika la klm kama ni Air Bus (type gani), Boeing type gani nk. got it ?
Mkuu mi mshamba tu sikuangalia hizo Mbanga. Hayo fanyeni wasomi uchwara msiojitambue kmmk
 
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda KIA na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.

Ukiacha KLM ni flight gani nyingine ya kwenda developed countries umewahi kupanda?





View attachment 2212929
 
Back
Top Bottom