KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Wabongo. Maskini kama wachawi vile,mtu kasimulia raha ya klm,mtu analeta ujuaji,
Ndege ni bonge la usafiri,ukisafiri kutoka Dar kwenda SA kupitia Ethiopia,Kuna Raha mazee,dar mpaka Ethiopia Kuna saa tatu,Ethiopia mpaka SA mwendo wa saa Tano na bonge la Ndege,Ethiopia airline.
Mkuu mi napenda Sana kupanda pipa. Niliwahi kwenda Cape town kwa Ethiopian airlines (masaa 3 Dar-Addis then tukakwea Addis-Cape town masaa 5. Full misosi!
 
Mi nshapanda zote hizo, almost 3*each,
So I know ninachokisema, labda kama mambo yamebadilika kipindi hiki cha COVID -19, maana ndo sitatoka nje ya EA.
Nilishasafiri na Emirates najua, mdogo wangu alishapata kadhia hiyo Feb tu hapa. Alienjoy Qatar wakati wa kurudi. Sijawahi kupanda KLM ila Office mates na ndugu wanatumia kila mara to US, UK na Germany na huwashawishi kutumia ndege nyingine. Ila ni ghali kidogo kuliko Emirates na Qatar
 
Mi nshapanda zote hizo, almost 3*each,
So I know ninachokisema, labda kama mambo yamebadilika kipindi hiki cha COVID -19, maana ndo sitatoka nje ya EA.

Inawezekana wameyumba labda, na i hope huongelei experience ya business class
 
Halafu sasa ukute ni ile kitu inaitwa Boeing MC Douglass, nadhani ndiyo ile ina tairi tatu tatu kwenye miguu katika kila mguu. Kwa hilo dude, huyu unayemuona hapa ni cha mtoto
Mkuu una uhakika na ulichoandika?
 
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda KIA na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.







View attachment 2212929
Kweli wewe mshamba hili zigo mbona tunalo jro na Jnia kila siku 22:45 hadi 23:00?
 
Hapa Jro.
Hope utaelewa
IMG-20220507-WA0000.jpg
IMG-20220507-WA0002.jpg
IMG-20220507-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom