KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Hujui unachokisema wewe, hujawahi kupanda KLM na wala hujawahi kusikia habari zake kwa walioipanda. Umekariri Emirates lakini huwa wanazingua sana sometimes huduma zao ndani ya ndege. Wahudumu wanakuwa na attitude sana hasa wakihudumia ngozi nyeusi. KLM hawana upuuzi

Qatar Airways wana bonge la AIRBUS kutoka DOHA kwenda DULLES Washington D.C. wahudumu wake ni vijana na msosi wake babu kubwa! Wale wa ulabu pia wanapata haki yao. Tatizo la KLM wahudumu wake ni wazeee!!!
 
Mkuu una uhakika na ulichoandika?
Siko technical sana katika maswala haya, ila nilichokuwa nina refer ni yale madege makubwa ya KLM yana pairs za tairi tatu kwenye kila mguu, tairi sita kwa ujumla katika kila mguu. Nadhani haya ndiyo Boeing MC Douglas
 
MC Douglas sidhani kama zina tairi 3 na sidhani kama KLM bado anazitumia. Ila ukigoogle current KLM fleet au ya mwaka unaotaka utapata ndege zao zote walizonazo
 
Wazungu wanajitambua walitengeneza katiba isiyowalinda mafisadi toka mwanzo!! Huoni Trump anavyopata kashi kashi na vyombo vya sheria Marekani? Taasisi zao ni IMARA na hakuna mtu aliye juu ya sheria!
Hapana. Huko nyuma, wazungu wameuana sana hadi kufikia stage hii waliyopo sasa. Walikuwa kama tulivyo sisi leo, wakatumia adhabu ya kifo pasipo kusitasita; kitu ambacho kwa sasa hivi haiwezekani tena kukifanya; nchi yoyote ile popote pale duniani haiwezi kuruhusiwa tena kufanya kitu cha namna hiyo. Walifanya hivyo enzi zile za kale sisi tulipokuwa bado tuko kwenye enzi za ujima
 
Siko technical sana katika maswala haya, ila nilichokuwa nina refer ni yale madege makubwa ya KLM yana pairs za tairi tatu kwenye kila mguu, tairi sita kwa ujumla katika kila mguu. Nadhani haya ndiyo Boeing MC Douglas
Boeing iliinunua kampuni ya kutengeneza ndege ya McDonnell Douglas Corporation mwaka 1996. Ila sijawahi kusikia aina hiyo ya modeli ya ndege uliyotaja yaani Boeing MC Douglas. Nitajaribu kugoogle pia niongeze ufahamu zaidi

.
 
Hivi kiwanda cha General Tyre Arusha kimeishia wapi?
 
Siko technical sana katika maswala haya, ila nilichokuwa nina refer ni yale madege makubwa ya KLM yana pairs za tairi tatu kwenye kila mguu, tairi sita kwa ujumla katika kila mguu. Nadhani haya ndiyo Boeing MC Douglas
Au utakuwa unasemea Boeing 747-800 yenye double decker.
1652780552713.png
 
😂😂😂 uzuri wa ndege ndani inategemeana na operatoe atakavyo order ndegenyakeniwe irembwe vipi ndani, mfano naonaga unaweza ukakuta ndegenlabda B787 -8 ya ET ndani ipo sple ila ndege iyo iyo ila shirika la Singapore airline ndege zao ndani zipo vizuri ndani..
 
Back
Top Bottom