KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Emirates, Etihad zinazokuja bongo ni mangalangala hata Qatar.
Pale kwenye connection mnapigwa,mliotoka mbali mnazamishwa kwenye madege yao cheap ndio yanawaleta bongo.
Hata ET.
Una uzoefu gani kwenye hili? Hicho unachozungumza huenda ni sawa ila mangalangala sio sahihi. Kilichopo huwezi kutoa ndege kubwa kama A380 kuileta Dar wakat abiria wenyewe hawafiki hata 200, pia uwanja wenu bado hauwezi kupokea hilo dude. Kingine hiyo Etihad niliyopanda hapa sijaona tofauti na niliyotoka nayo Abu Dhabi kwenda Bangkok, zote zilikuwa Airbus zenye huduma sawa.
 
Nadhani kuna kipindi KQ waliwauzia shares pia. Hawa jamaa wana bahati kwamba uwanja wao wa Amsterdam Schiphol ni connection hub ya dunia nzima. Amsterdam ni kiwanja ambacho ndege za kuelekea karibia mahali popote duniani zipo

Mkuu umetisha. Kweli ni hub ya dunia hapa. Nilisoma sehemu huu uwanja unashika no. 2 ulaya baada ya Heathrow
 
Boeing na MC Douglas ni kampuni mbili tofauti, yani hapa ni sawa na kusema Scania Toyota. Hata hivyo kampuni hizi zili merge miaka ya 90 na facilities zote za MC Douglas zilichukuliwa na Boeing.
 
Mkuu umetisha. Kweli ni hub ya dunia hapa. Nilisoma sehemu huu uwanja unashika no. 2 ulaya baada ya Heathrow
No, huu ni namba moja kwa Ulaya na namba moja kwa dunia nzima kwa kuwa na connection za ndege zinazoelekea sehemu karibia zote duniani.Ni Hub ya dunia; Heathrow hawaufikii.

Kwa ukubwa wake nadhani unazidiwa na kiwanja kimoja au viwili viliyoko Marekani, JF Kennedy kikiwa possibly ni kimojawapo. Labda pengine kwa siku za hivi karibuni uarabuni nako pia kunaweza kukawaa kumeshajengwa uwanja mwingine mkubwa kuliko huu, ila sina hakika
 
Ulisafiri kama parcel mkuu
kwani we KISIWAGA ulishawahi kupanda ndege, au huwa unaziona tu zinapita na kuzinyooshea kidole? abiria anawezaje kusafiri mara nne na KLM kama parcel? unaijua hiyo royal dutch au unaisikia tu? au unafikiri ndio zile fastjet za kuzamia kwa kujificha kwenye injini?
 
Mkuu kuna wakati nikitaka kupanda ndege fulani toleo jipya ya shirika la Ethiopia lakini bahati mbaya ikaanguka kabla sijaisimamisha
 
Back
Top Bottom