KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Kuna jamaa yangu anafanya kazi kwenye hili shirika la ndege la KLM .Anasema wapo vizuri mno hata kimaslahi..Jamaa yupo Amsterdam anakula tuu maisha.
Nadhani kuna kipindi KQ waliwauzia shares pia. Hawa jamaa wana bahati kwamba uwanja wao wa Amsterdam Schiphol ni connection hub ya dunia nzima. Amsterdam ni kiwanja ambacho ndege za kuelekea karibia mahali popote duniani zipo


 
Halafu ni hivi: huwa likitoka Amstedam linatua KIA. Likitoka KIA linakuja kutua JKIA kwa ajili ya kubadilisha CABIN CREW na kuchukua abiria wengine. Baada ya hapo destination ni Amsteradam tena bila kupumzika. Acha kabisa I see!
Hatari fire hilo dude
 
Halafu ni hivi: huwa likitoka Amstedam linatua KIA. Likitoka KIA linakuja kutua JKIA kwa ajili ya kubadilisha CABIN CREW na kuchukua abiria wengine. Baada ya hapo destination ni Amsteradam tena bila kutua popote. Acha kabisa I see!
Mzigo unapopaaa unausikia mpaka kwenye main. Tutafute pesa tu wazee, starehe sio kupiga malaya tu
 
20220507_112702.jpg
20220507_112650.jpg
Naiuza Tshs. MIL. 4 TU
Kila kitu cha kwenye gari kinafanya kazi ipasavyo.
Gati ipo KIBAHA KONGOWE, PWANI.
20220507_124758.jpg
20220507_124616.jpg
20220507_124552.jpg
20220507_124525.jpg

Mawasiliano: 0747007131

20220507_124511.jpg


20220507_124133.jpg


20220507_113022.jpg
 
Wabongo ni complex mno. Kakuambia anakutisha? Punguza stress
Wabongo. Maskini kama wachawi vile,mtu kasimulia raha ya klm,mtu analeta ujuaji,
Ndege ni bonge la usafiri,ukisafiri kutoka Dar kwenda SA kupitia Ethiopia,Kuna Raha mazee,dar mpaka Ethiopia Kuna saa tatu,Ethiopia mpaka SA mwendo wa saa Tano na bonge la Ndege,Ethiopia airline.
 
Wabongo. Maskini kama wachawi vile,mtu kasimulia raha ya klm,mtu analeta ujuaji,
Ndege ni bonge la usafiri,ukisafiri kutoka Dar kwenda SA kupitia Ethiopia,Kuna Raha mazee,dar mpaka Ethiopia Kuna saa tatu,Ethiopia mpaka SA mwendo wa saa Tano na bonge la Ndege,Ethiopia airline.
Wengine roho mbaya tu
 
Ndege ni za waarabu Tu,
Emirates, Qatar, Kwa mbali Etihad,
Hizi nyingine wanaforce king tu
Ambacho hujui, wanazinua Boeing(mwenye ndege nyingi zaidi kwenye mashirika ya ndege duniani) na Air Bus
 
Ndege ni za waarabu Tu,
Emirates, Qatar, Kwa mbali Etihad,
Hizi nyingine wanaforce king tu

Hujui unachokisema wewe, hujawahi kupanda KLM na wala hujawahi kusikia habari zake kwa walioipanda. Umekariri Emirates lakini huwa wanazingua sana sometimes huduma zao ndani ya ndege. Wahudumu wanakuwa na attitude sana hasa wakihudumia ngozi nyeusi. KLM hawana upuuzi
 
Mm nimezungunzia kama mteja,
Kwa huduma Bora KLM asuburi sana

Nilishasafiri na Emirates najua, mdogo wangu alishapata kadhia hiyo Feb tu hapa. Alienjoy Qatar wakati wa kurudi. Sijawahi kupanda KLM ila Office mates na ndugu wanatumia kila mara to US, UK na Germany na huwashawishi kutumia ndege nyingine. Ila ni ghali kidogo kuliko Emirates na Qatar
 
Back
Top Bottom