Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hakuna kitu hapo mbele ya Emirates!Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212929
Una uzoefu gani kwenye hili? Hicho unachozungumza huenda ni sawa ila mangalangala sio sahihi. Kilichopo huwezi kutoa ndege kubwa kama A380 kuileta Dar wakat abiria wenyewe hawafiki hata 200, pia uwanja wenu bado hauwezi kupokea hilo dude. Kingine hiyo Etihad niliyopanda hapa sijaona tofauti na niliyotoka nayo Abu Dhabi kwenda Bangkok, zote zilikuwa Airbus zenye huduma sawa.Emirates, Etihad zinazokuja bongo ni mangalangala hata Qatar.
Pale kwenye connection mnapigwa,mliotoka mbali mnazamishwa kwenye madege yao cheap ndio yanawaleta bongo.
Hata ET.
Mkuu umetisha. Kweli ni hub ya dunia hapa. Nilisoma sehemu huu uwanja unashika no. 2 ulaya baada ya HeathrowNadhani kuna kipindi KQ waliwauzia shares pia. Hawa jamaa wana bahati kwamba uwanja wao wa Amsterdam Schiphol ni connection hub ya dunia nzima. Amsterdam ni kiwanja ambacho ndege za kuelekea karibia mahali popote duniani zipo
Muwambiye akupe muchongo acha kukaa kiree..Kuna jamaa yangu anafanya kazi kwenye hili shirika la ndege la KLM .Anasema wapo vizuri mno hata kimaslahi..Jamaa yupo Amsterdam anakula tuu maisha.
Pole sanaNdio wanavyofanya toka Hethrow mpk Doha A380 ilihusika Doha to Dar tukaingizwa kwenye kindege chakavu hata tv hamna.
Boeing 747 Queen of the skyhahhahahha unapanda Boeing777-206 unashangaa!!! Ukipanda Boeing 747 au Airbus A380 si utaita mkutano wa kata kusimulia?
No, huu ni namba moja kwa Ulaya na namba moja kwa dunia nzima kwa kuwa na connection za ndege zinazoelekea sehemu karibia zote duniani.Ni Hub ya dunia; Heathrow hawaufikii.Mkuu umetisha. Kweli ni hub ya dunia hapa. Nilisoma sehemu huu uwanja unashika no. 2 ulaya baada ya Heathrow
Kwa sasa, inaonyesha kwa ukubwa unazidiwa na viwanja vingine Ulaya, viko Ufransa na Ujerumani. Ila kwa connection ya ndege zinazoelekea sehemu mbali mbali duniani, ni wa kwanza duniani.Mkuu umetisha. Kweli ni hub ya dunia hapa. Nilisoma sehemu huu uwanja unashika no. 2 ulaya baada ya Heathrow
kama parcel?Ulisafiri kama parcel mkuu
kwani we KISIWAGA ulishawahi kupanda ndege, au huwa unaziona tu zinapita na kuzinyooshea kidole? abiria anawezaje kusafiri mara nne na KLM kama parcel? unaijua hiyo royal dutch au unaisikia tu? au unafikiri ndio zile fastjet za kuzamia kwa kujificha kwenye injini?Ulisafiri kama parcel mkuu
Mkuu kuna wakati nikitaka kupanda ndege fulani toleo jipya ya shirika la Ethiopia lakini bahati mbaya ikaanguka kabla sijaisimamishakwani we KISIWAGA ulishawahi kupanda ndege, au huwa unaziona tu zinapita na kuzinyooshea kidole? abiria anawezaje kusafiri mara nne na KLM kama parcel? unaijua hiyo royal dutch au unaisikia tu? au unafikiri ndio zile fastjet za kuzamia kwa kujificha kwenye injini?
we kisiwaga ungepandaga tu ile ya ethiopia. sijui kwanini hukupanda.Mkuu kuna wakati nikitaka kupanda ndege fulani toleo jipya ya shirika la Ethiopia lakini bahati mbaya ikaanguka kabla sijaisimamisha
Mkubwa sio hiyo tu hata ile ya Malaysia nilisita kuipandawe kisiwaga ungepandaga tu ile ya ethiopia. sijui kwanini hukupanda.