Unaifahamu Singapore airlines? Cathay Pacific airlines?Ndege ni za waarabu Tu,
Emirates, Qatar, Kwa mbali Etihad,
Hizi nyingine wanaforce king tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaifahamu Singapore airlines? Cathay Pacific airlines?Ndege ni za waarabu Tu,
Emirates, Qatar, Kwa mbali Etihad,
Hizi nyingine wanaforce king tu
Unalipwa kiasi gani na mimi niandike yangu?Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212929
watalii wa kumwaga wanatua KIAKLM wanapataje faida Kwa kuja kila siku TZ (Dar na KIA)? Maana nijuavyo wabongo wamezoea kupanda Ethiopian, Turkish, Flydubai, Qatar na Kidogo Emirates!
Rangi makinimimi nilikua najua hio KLM ni Kilimanjaro na hio rangi hamuoni zinafanana na zile za kwetu
Kwa hyo?Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212929
Ha ha haNapataje uraia wa Netherlands?