KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

Halafu hiyo barua ya apology iko wapi?
1675062474093.png

Kufuatia madai haya ya KLM na Air France, barua ya apology imeandikwa na serikali ya Tanzania. Kama ni kweli...
Wonders shall never cease!
 
• "Following the ministrys' statement..."
• "its flights to Zanzibar has resumed with an immediate effect..."
• "the" zimekuwa nyingi sana, sijui hakufundishwa matumizi ya articles [emoji849]

Kingereza cha wapi hiki?

Shame on him and the ministry!

Kizungu cha Profesa wa Unguja
 
Back
Top Bottom