Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Halafu hiyo barua ya apology iko wapi?
Kufuatia madai haya ya KLM na Air France, barua ya apology imeandikwa na serikali ya Tanzania. Kama ni kweli...
Wonders shall never cease!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hiyo barua ya apology iko wapi?
• "Following the ministrys' statement..."
• "its flights to Zanzibar has resumed with an immediate effect..."
• "the" zimekuwa nyingi sana, sijui hakufundishwa matumizi ya articles [emoji849]
Kingereza cha wapi hiki?
Shame on him and the ministry!
Kiswahili cha Kanda ya Ziwa hicho,anamaanisha unga wa muhogo [emoji3]Udaga ndio nini
Kiswahili cha Kanda ya Ziwa hiki "udaga" unachanganya kiluga na kiswahili [emoji3]Unaweweseka huku unapiga mbwewe baada ya kushiba udaga.
View attachment 2499415Hiyo barua ya apology iko wapi? Au minister ni agent wa KLM?