Manula kajichanganya mwenyewe, anahisi wana Simba hatujamsamehe ile mechi ya 5 -1.Manula nae mbona hamumuachi?
Hii ligi yenu ya ajabu sasa mchezaji akipoyeza hamu na timu ndio hasifuate utaratibu.Mara Fei,Kaja Dube,Lawi,Awesu,Manula. Wewe unamtaka mchezaji ifuate timj inayo mmiliki kubalianeni nae.
Unaandika ujinga mtupu, Mwenda ameondoka kulinda kipaji chake anakaa benchi Simba na Simba haina mahitaji naye sana.Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Au kama vile Simba haohao walivyoamua kuachana na Kibu.Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
HOJA inabakia palepale kama mchezaji anataka kuondoka wewe ukamzuia basi hatakupa 100% uwanjani.Unaandika ujinga mtupu, Mwenda ameondoka kulinda kipaji chake anakaa benchi Simba na Simba haina mahitaji naye sana.
Tofauti na Awesu ni mchezaji tegemeo, kwahiyo hapo kinachotakiwa ni pesa tu siyo porojo.
Hata huyo Mwenda amerudisha Simba pesa za mkataba.
Sasa kama wanamliki na taratibu za kuvunja mkataba kihalali hazijafatwa unategemea wamwache tu?Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Kibu karudi mwenyewe Msimbazi kuomba msamaha - umeumia?Au kama vile Simba haohao walivyoamua kuachana na Kibu.
Tumemwacha karuka ruka weee mwishowe karudi.Kibu karudi mwenyewe Msimbazi kuomba msamaha - umeumia?
Kwa hiyo mnamng'ang'ania na kumkomoa?Manula kajichanganya mwenyewe, anahisi wana Simba hatujamsamehe ile mechi ya 5 -1.
Sisi hatupo huko tena aje tujenge Simba mpya na bora Africa, kama hataki basi awaambie hao wanaomtaka Azam tukae mezani.
Hataki nalo basi apumzike soka msimu mzima akiwa anasugua benchi.
Ishu yamkini ikawa ni upigaji, sidhani kama pesa ingewekwa KMC wangemzuia huyo mchezaji.Ina maana hata kutumia uwanja wa KMC siyo salama kwa Simba. Tutegemee timu itaanza kutangatanga tena. Daah!
Mimi nadhani wangewapa pesa wanayoitaka au wangekutana katikati. Awesu angecheza ile derby angeleta kitu kilichokosekana katika kile kikosi cha Simba.
Wanaume huwa hatuumii, Aweso naye baada ya KMC kushinda kesi amerudi mwenyewe kuomba msamaha, vipi? Umeumia?Kibu karudi mwenyewe Msimbazi kuomba msamaha - umeumia?
Nafkiri KMC walitaka pesa zaidi.Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Fateni utaratibu acheni ujingaNi UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Kwani Nani atakua mhanga Kati ya Awesu na KMC?Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Yani wenye shida ya mchezaji n Simba halafu KMC ndio wawatafute Simba?HOJA inabakia palepale kama mchezaji anataka kuondoka wewe ukamzuia basi hatakupa 100% uwanjani.
Cha msingi KMC wasitambe kushinda kesi kama ilivyo sasa bali wawatafute Simba ili wamalizane kabla ya dirisha kufungwa - vinginevyo atakayeumia na KMC wenyewe na Awesu.
Walishabikia saaana suala la FeiTuliwaambia huu uhuni wa kuwarubuni wachezaji waweka pesa ya kuvunja mkataba kwenye account wauache hawakusikia.
Utaratibu hauko hivo mkataba unavunjwa Kwa pande mbili kukaa mezani
Awesu atakapocheza Simba wewe utaonekana ndio mjinga. Subiri jioni ya leoYaaan yanga atuwezi fanyaa ujinga kama huu wa Simba
Unampeleka mchezaji nje ya nchi anafanya mazoezi
Anarudi unaambiwa sio wako mkamqlizane na timuhusika
1.chezajii n lijingaa halijielewi
2.viongozi wa Simba n wajinga
Mlitaka kumfurahisha nani
Yaaan yanga atuwezi fanyaa ujinga kama huu wa Simba. Unampeleka mchezaji nje ya nchi anafanya mazoezi. Anarudi unaambiwa sio wako mkamqlizane na timuhusika
1.chezajii n lijingaa halijielewi
2.viongozi wa Simba n wajinga
Mlitaka kumfurahisha nani
Awesu atakapocheza Simba wewe utaonekana ndio mjinga. Subiri jioni ya leo