Msikilize Father Kitima kwenye kipindi hiki, akizungumzia urafiki wake na JPM
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=qTENE_Um7VoUyiB0Anzia dakika ya 20
P
Umejaza machawa wenzako. Hapo ni Kitima , Jussa na Kibamba.Wanabodi
Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri.
Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili ya jana ni hiki
View: https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C
Wazungumzaji ni
1.
View: https://youtu.be/l7apUkgY3IA?si=Ve5pLjxStJQuXhzD Issac Cheyo - M/Mwenyekiti United Democratic Party (UDP)
2.
View: https://youtu.be/EUukQ7DiTYw?si=qtoMiVazesdgyM__ Maggid Mjengwa - Mchambuzi wa Siasa.
3.
View: https://youtu.be/yy8bq2PnZwc?si=ZEy_RZLAwfjb5-Jr Joseph Roman Selasini -K/Mwenyekiti NCCR Mageuzi
4.
View: https://youtu.be/cHxuVN8njWM?si=-ouehGdq8HTCG_Cp Hamad Rashid Mohammed - M/Kiti Alliance for Democratic Change (ADC)
5.
View: https://youtu.be/Li8Yu29CwV4?si=1IXGSRSLy4tgH2qQ Balozi Amina Salum Ali - Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Zanzibar.
6.
View: https://youtu.be/TrUw1PZqiKY?si=QQ_t6NWxB9C3oHoL Ismail Jussa - Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zanzibar
7.
View: https://youtu.be/h3TFKlNHV98?si=TfTyMqBGvkYDmr3u Deus Kibamba- Mjumbe Jukwaa la Katiba
8.
View: https://youtu.be/w0WiYIr1t90?si=adEW3mxaa_n9AtEB Father Charles Kitima- Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC
9.
View: https://youtu.be/2Iw3KXte-2c?si=EMQmp1HNbgw6cj6d Msajili wa vyama vya Siasa ,Jaji Mtaafu Francis Mutungi
Usikose kuangalia marudio siku ya Jumatano saa 9:30 Alasiri on Channel Ten.
Kipindi cha Jumapili Ijayo wazungumzaji
1. Anna Mwasioke, Mhariri Mkuu wa TBC na MC wa Mkutano.
2. Mheshimiwa Mohamed Ali Ahmed, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa
3. Msajili wa vyama vya Siasa Mhe, Jaji Mtaafu Francis Mutungi
4. Mhe. Hamza Hassan Juma, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na BLW- Zanzibar
5. Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na Bunge.
6. Mhe. Masoud Othman Masoud- Makamo wa I Rais- Zanzibar
Usikose!.
KMT kinaendeshwa kwa mtindo wa Vox Pop, kwa imani kuwa Vox Populi is Vox Dei!, kauli ya wengi ni kauli ya Mungu na Kauli huumba, kipindi kinatoa fursa ya ku consolidates kupaza sauti ya wengi kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii kuhusu taifa letu, ili suati hizo, ziliumbe hilo jambo.
Kwa vile kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, natoa wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti hizi za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi wakisema wanataka niumejaza machawa ni, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea wasiposikilizwa, what will happen msije kutulilia humu kuwa huwakujua!...
Mwenye Masikio na Asikie!
Jumatatu Njema.
Paskali
Hujawatendea haki!, tujenge utamaduni wa kusikiliza kwanza ndipo tuchangie. Mtu kama Jussa, Kibamba, Hamad Rashid, Selasini kuwaita chawa sio kuwatendea haki!.Hapo ni Father Kitima pekee ndiyo anaweza kuongea ukweli na kwa mbali mzee Cheyo, wengine wote ni chawa wa Rais hawana jipya.
Nitawaleta wote in due time!. JJ.Mnyika tayari ninaye!.Sisi tunataka utuletee Kinana, Nchimbi, Lissu, John Heche, Mnyika, Mwigulu Nchemba, Msigwa, Lema watu ambao wanaweza kushindana kwa hoja na tafiti na siyo hawa wasifiaji pekee
Asante sana, yeye ana kipindi chake mahsus anatema madini mwanzo mwisho!.Father ananyoosha sanaa safi sanaa P kwq kipindi mujarabu sanaa
Wasikilize utajua.Father Kitima sawa, wengine sijui😀
Sii kweli, msikilize hapaKwa sababu hivi sasa rais wa dini sio yake.
Inadorora kwasababu tupo Wakristo tunawasikiza wenzetu kufunga!, hata ile biashara ya wadada inadorora, hata uhalifu unapungua!.Umewahi kujiuliza swali kwann biashara ya Nguruwe hudorora kipindi fulani hivi
Inadorora kwasababu tupo Wakristo tunawasikiza wenzetu kufunga!, hata ile biashara ya wadada inadorora, hata uhalifu unapungua!. Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?Umewahi kujiuliza swali kwann biashara ya Nguruwe hudorora kipindi fulani hivi
Wakiristo mumekatazwa kula nguruwe ktk biblia. Sijui kwanini mnakulaInadorora kwasababu tupo Wakristo tunawasikiza wenzetu kufunga!, hata ile biashara ya wadada inadorora, hata uhalifu unapungua!.
P
Heshimu maoni ya wengine!.Uyo Mjengwa ni kada mtiifu wa CCM hawezi kuchambua siasa labda kusifia CCM na kuponda upinzani tu
It's true Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja na sheria ni moja ile ya Musa, kitimoto ni haramu!, ila Yesu ameitimilisha sheria, kimtiacho mtu najis ni kitokacho sio kiingiacho!.Wakiristo mumekatazwa kula nguruwe ktk biblia. Sijui kwanini mnakula
Cheyo!?!?!? Huyu akiongea anakijua mwenyewe anachoongea, amechoka.Hapo ni Father Kitima pekee ndiyo anaweza kuongea ukweli na kwa mbali mzee Cheyo, wengine wote ni chawa wa Rais hawana jipya.
Hili nililiandikia Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for IntegrityMarafiki wa dhalimu walikuwa ni hao wahalifu kina Makonda, Sabaya, Kingai nk. Wengine walikuwa wanamchekea mdomoni ili wapate ulaji, vyeo ama favour fulani Fulani. Nape, Kinana nk walienda kumuomba msamaha, unaamini ulikuwa msamaha wa kweli au kujisalimisha Ili wabaki na vyeo au magendo Yao?
CCM haijawahi kusikiliza maoni ya wananchi, rejea maneno ya balozi Karume alichokisema kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kitendo ambacho pia kilimuweka madarakani ndugu yake, pia shsngazi Karume naye aliwahi kuzungumzia kuhusu CCM kutoliheshimu sanduku la kura ambalo lilimuweka madarakani Karume, CCM ikajitengea kura za wanajeshi yaani tunagawana nyama unajitengea pembeni maini na unakua mkali!Heshimu maoni ya wengine!.
P
Umesema huta kata hats kipande naomba link mkuj niangalie kipindi chote..Msikilize Father Kitima kwenye kipindi hiki, akizungumzia urafiki wake na JPM
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=qTENE_Um7VoUyiB0Anzia dakika ya 20
P
Mjengwa! Huyu nilikuwa nawasiliana naye sana kwenye Blog yake, Mjengwa alishabikia sana shule zifundishe kwa kiswahili tu huku yeye watoto wake akiwapeleka kwenye shule ya kimataifa Iringa! Mtu kama huyu ukimpa nyama awagawie wenzake usishangae ikimuozea mikononi.Wanabodi
Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri.
Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili ya jana ni hiki
View: https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C
Wazungumzaji ni
1.
View: https://youtu.be/l7apUkgY3IA?si=Ve5pLjxStJQuXhzD Issac Cheyo - M/Mwenyekiti United Democratic Party (UDP)
2.
View: https://youtu.be/EUukQ7DiTYw?si=qtoMiVazesdgyM__ Maggid Mjengwa - Mchambuzi wa Siasa.
3.
View: https://youtu.be/yy8bq2PnZwc?si=ZEy_RZLAwfjb5-Jr Joseph Roman Selasini -K/Mwenyekiti NCCR Mageuzi
4.
View: https://youtu.be/cHxuVN8njWM?si=-ouehGdq8HTCG_Cp Hamad Rashid Mohammed - M/Kiti Alliance for Democratic Change (ADC)
5.
View: https://youtu.be/Li8Yu29CwV4?si=1IXGSRSLy4tgH2qQ Balozi Amina Salum Ali - Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Zanzibar.
6.
View: https://youtu.be/TrUw1PZqiKY?si=QQ_t6NWxB9C3oHoL Ismail Jussa - Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zanzibar
7.
View: https://youtu.be/h3TFKlNHV98?si=TfTyMqBGvkYDmr3u Deus Kibamba- Mjumbe Jukwaa la Katiba
8.
View: https://youtu.be/w0WiYIr1t90?si=adEW3mxaa_n9AtEB Father Charles Kitima- Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC
9.
View: https://youtu.be/2Iw3KXte-2c?si=EMQmp1HNbgw6cj6d Msajili wa vyama vya Siasa ,Jaji Mtaafu Francis Mutungi
Usikose kuangalia marudio siku ya Jumatano saa 9:30 Alasiri on Channel Ten.
Kipindi cha Jumapili Ijayo wazungumzaji
1. Anna Mwasioke, Mhariri Mkuu wa TBC na MC wa Mkutano.
2. Mheshimiwa Mohamed Ali Ahmed, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa
3. Msajili wa vyama vya Siasa Mhe, Jaji Mtaafu Francis Mutungi
4. Mhe. Hamza Hassan Juma, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na BLW- Zanzibar
5. Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera, Uratibu na Bunge.
6. Mhe. Masoud Othman Masoud- Makamo wa I Rais- Zanzibar
Usikose!.
KMT kinaendeshwa kwa mtindo wa Vox Pop, kwa imani kuwa Vox Populi is Vox Dei!, kauli ya wengi ni kauli ya Mungu na Kauli huumba, kipindi kinatoa fursa ya ku consolidates kupaza sauti ya wengi kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii kuhusu taifa letu, ili suati hizo, ziliumbe hilo jambo.
Kwa vile kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, natoa wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti hizi za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi wakisema wanataka nini, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea wasiposikilizwa, what will happen msije kutulilia humu kuwa huwakujua!...
Mwenye Masikio na Asikie!
Jumatatu Njema.
Paskali
Mfuatilie vizuri siku hizi anatema point snCheyo!?!?!? Huyu akiongea anakijua mwenyewe anachoongea, amechoka.
Leta vigogo kama akina Lissu na mdahalo uwe wa wazi uongozwe na Chief Odemba au Dotto BuleduNitawaleta wote in due time!. JJ.Mnyika tayari ninaye!.
P
Tunatofautiana kwenye viwango.Mfuatilie vizuri siku hizi anatema point sn