Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Moja ya vitu vinavyoniuzi ni kuona wavaa Kobazi wakiwa wanashangilia pale vita vinapoanza.

Mfano Palestina alipoanza kufanya mashambulizi pale Israel. Wavaa kobazi walianza vifijo na ndelemo, wakisema Israel lazima apotee. Mambo yakageuka Israel ikaanza kugawa dozi haswa. Wavaa kobazi wakaanza mambo ya free Palestina

Iran nayo ilipoanza mashambulizi kwenda kwenye Proxies za marekani kule uarabuni. Wavaa kobazi walisifia sana utashi na uhodari wa Iran. Kwamba Iran haiwezi kupigwa. Iran sasa kapigwa na sasa amekuwa "I ran" yani "Nikakimbia".

Nini nataka kukisema: Wavaa kobazi hawanaga strategies nzuri vitani tofauti na Wagalatia. Wagalatia vita vyao wanapigana kwa hesabu kali, huku wakikuchokoza wakusubiri ujae kwenye mfumo wapate sababu ya kukupiga. Na wakikupiga wanakubamiza kweli.

Wavaa kobazi msishangilie mwanzo wa vita, shangilieni mwisho wa vita.
 
Mleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .

Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
 
Iran Hana nguvu kama anavyosifiwa,
Kiongozi wako mkubwa kabisa ameuawa, hakuna majibu yoyote umefanya ya kueleweka.
Mimi naona Israel na Marekani wako na Akili nyingi kuzidi Wairan, awali walishambulia kwanza sehemu zote zinazohisiwa kuwa na makombora mazito (2025)
Na Sasa wanajipigia tu kama Malaya mlevi.
 
Tulia wew...ayatullah keshatiwa dole uko...si mlisema iran ni hodari sana
 
Iran Hana nguvu kama anavyosifiwa,
Kiongozi wako mkubwa kabisa ameuawa, hakuna majibu yoyote umefanya ya kueleweka.
Mimi naona Israel na Marekani wako na Akili nyingi kuzidi Wairan, awali walishambulia kwanza sehemu zote zinazohisiwa kuwa na makombora mazito (2025)
Na Sasa wanajipigia tu kama Malaya mlevi.
Mkuu marekani kijeshi hata leo amfate UK, Uk anaondoka mapema tu
 
Huwa sichangii mada yeyote kuhusiana na Iran maana nimekuwa nikiona namna walivyo dhaifu kwa miaka mingi tu.

Israel anaingia mpaka nchini mwao anaua wanasayansi wake muhimu na hakuna kinachotokea, amekuwa akifanya hivyo kila mara.

Iran bado sana.
 
Mleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .

Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
Bwana wee, madhara yake nimeyapata! Ndege zimesimamishwa na sasa tunahaha jinsi ya kurudi TZ! Ni hatari tupu! Imagine

IMG_6376.jpeg
 
Huwa sichangii mada yeyote kuhusiana na Iran maana nimekuwa nikiona namna walivyo dhaifu kwa miaka mingi tu.

Israel anaingia mpaka nchini mwao anaua wanasayansi wake muhimu na hakuna kinachotokea, amekuwa akifanya hivyo kila mara.

Iran bado sana.
Mwanzoni nilikuwa naona 50/50 labda Marekani au Iran Kwa jinsi anavyopambwa, lakini ajabu wanaingia kwake wanajipigia tu kama Malaya mlevi
 
Kufa Kwa khomenei ndo Iran imepoteza?
Mbona anachaguliwa mwingine SOON AS POSSIBLE
 
Kobazi wa humu wamesinya na kunyauka daadeeki, wanazikimbia nyuzi zao za nyuma walizoziandika kushabikia Palestina/Iran wakifanya mashambulizi Israel. Wanazionea kinyaa na aibu nyuzi zao walizoziandika kwa upupu hawajitokezi kutoa mrejezo kwa kilichotokea. Waliandika kishabiki bila ku predict kitakachotokea mbeleni. Walikuwa ni wabishi wakiambiwa uhalisia kitakojiri na sasa wamejionea still wanakaza fuvu na kuendelea kusifia mashambulizi ya Iran kwa kobazi wenzake pro USA
 
Kwani vita imeisha? Si ndio kwanza imeanza?
 
Mleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .

Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
usim dis mleta uzi, kobazi walishangilia sana na kukashifu wagalatia kwa kuwaita majina ya kimatusi. Kobazi walikuwa wanasimuliana habari za vita mpaka kwenye masinagogi wakiaminishana ujinga na chuki za kipumbavu dhidi ya makafiri
 
Kufa Kwa khomenei ndo Iran imepoteza?
Mbona anachaguliwa mwingine SOON AS POSSIBLE
Kwani kupoteza maana yake nini... kiongozi mkuu wa Nchi akishauwawa na Adui tayari Nchi imepoteza... Rais wa Nchi anauwawa alafu bado anakataa Iran haijapoteza, wewe Kobazi kweli akili zako chenga.

Adui anakuja nyumbani kwenu anamuuwa Mkuu wa Kaya au Baba yako anaacha msiba mzito, alafu unasema hujapoteza?
 
Back
Top Bottom