Tulia wew...ayatullah keshatiwa dole uko...si mlisema iran ni hodari sanaMleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .
Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
Mkuu marekani kijeshi hata leo amfate UK, Uk anaondoka mapema tuIran Hana nguvu kama anavyosifiwa,
Kiongozi wako mkubwa kabisa ameuawa, hakuna majibu yoyote umefanya ya kueleweka.
Mimi naona Israel na Marekani wako na Akili nyingi kuzidi Wairan, awali walishambulia kwanza sehemu zote zinazohisiwa kuwa na makombora mazito (2025)
Na Sasa wanajipigia tu kama Malaya mlevi.
Bwana wee, madhara yake nimeyapata! Ndege zimesimamishwa na sasa tunahaha jinsi ya kurudi TZ! Ni hatari tupu! ImagineMleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .
Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
Konazi ndio kina nani wekeni picha
Mwanzoni nilikuwa naona 50/50 labda Marekani au Iran Kwa jinsi anavyopambwa, lakini ajabu wanaingia kwake wanajipigia tu kama Malaya mleviHuwa sichangii mada yeyote kuhusiana na Iran maana nimekuwa nikiona namna walivyo dhaifu kwa miaka mingi tu.
Israel anaingia mpaka nchini mwao anaua wanasayansi wake muhimu na hakuna kinachotokea, amekuwa akifanya hivyo kila mara.
Iran bado sana.
usim dis mleta uzi, kobazi walishangilia sana na kukashifu wagalatia kwa kuwaita majina ya kimatusi. Kobazi walikuwa wanasimuliana habari za vita mpaka kwenye masinagogi wakiaminishana ujinga na chuki za kipumbavu dhidi ya makafiriMleta mada mjinga sana , kushangilia mambo ya vita kishabiki ni ujinga ukiona sasa vita watu wanashangilia kama mechi Kuna mpka Wakristo wapo upande wa Iran na wapo Waislamu against Iran .
Usilete mambo ya udini as if unajua dini ya kila mtu mitandaoni na yale yaliyo nafsini kwa mtu.
Kwani kupoteza maana yake nini... kiongozi mkuu wa Nchi akishauwawa na Adui tayari Nchi imepoteza... Rais wa Nchi anauwawa alafu bado anakataa Iran haijapoteza, wewe Kobazi kweli akili zako chenga.Kufa Kwa khomenei ndo Iran imepoteza?
Mbona anachaguliwa mwingine SOON AS POSSIBLE