Kobazi Wanashangiliaga Ujinga, Palestina alipoteza Iran nae Kapoteza

Kabisa
 
Kwani vita imeisha? Si ndio kwanza imeanza?
Vita imeshaisha Tayari.... Goal ilikuwa ni kumuondoa Ayatollah kwa sababu kawasumbua kwa muda mrefu, itaendelea lakini chanzo kimeshaondolewa
 
Vita imeshaisha Tayari.... Goal ilikuwa ni kumuondoa Ayatollah kwa sababu kawasumbua kwa muda mrefu, itaendelea lakini chanzo kimeshaondolewa
bado haijaisha, kachaguliwa mwingine wa kuendeleza mtiti
 
bado haijaisha, kachaguliwa mwingine wa kuendeleza mtiti
Itamchukua muda kuweza kuepeleka moto, kaishaona nguvu ya Marekani... na kumbuka kaona Kobazi mwenzake kauwawa unadhani anaweza kuendeleza moto? Labda mpaka azoee ofisi
 
Kobaz enterprises
 

Posti yako ni sawa na mtu anayejibu swali la kidato cha nne wakati elimu yake ni ya darasa la saba
KAMA HUNA UJUZI YA MAMBO YA KIMATAIFA BORA ULETE POST ZA CCM na CHADEMA, hayo ya huko nje achia wajuzi.....
 
asilimia kubwa ya waisilam wanaunga mkono Iran japo huwa wanasema Iran ni mashia
 
Wazee wa kukata vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…