talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Helicopter ni usafiri hatari sana.... Siwezi ufurahia haya siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha bas mkuuTaarifa kutoka nchini Marekani zinasema Nyota wa zamani wa mpira wa Kikapu wa NBA Kobe Bryant amefariki kwaajali ya Helicopter.
R.I.P
Aisee
Kabla ya hiki kifo cha Bryant, ulikua unajua mbabe ni nani?Jamani hii taarifa ni ukweli maana second times naiona hapa jf (Kweli mbabe ni Mungu pekee)
RIP mwamba[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ona aibu kwa maneno yako ya dharau, upuuzi umekujaa.Utakuwa hujui kiingereza nini labda umesoma LeBron James passed Kobe Bryant 3 all time scoring.
Kifo kifo tu hata uwe na mabilionHiki kimenipa somo kubwa. Pesa zako zinaweza kukuua. Ajali ya chopa. Pesa zake mwenyewe. Yaani wewe acha tu.