Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

Mcheza kikapu mwenye mafanikio makubwa nchini Marekani na timu ya L.A Lakers "Kobe Bryant" amefariki asubuhi ya leo (saa za marekani) kwa ajali ya Helicopter yake binafsi.

Taarifa zinasema watu wote waliokuwa kwenye helicopter wamepoteza maisha,


R.I.P Kobe
Screenshot_2020-01-26-22-50-35.jpeg
IMG_20200126_224634_620.jpeg
IMG-20200126-WA0032.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
US basketball legend Kobe Bryant has been killed in a helicopter crash in California, US media report.

Bryant was travelling in a private helicopter when it burst into flames above the city of Calabasas, according to the reports.
The LA County Sheriff's department said that five people died in a helicopter crash in Calabasas on Sunday, with no survivors.
It did not immediately publish any names.
It said it received reports of the crash at about 10:00 local time (18:00 GMT).
Five-time NBA champion Bryant, 41, played his entire 20-year career with the Los Angeles Lakers. He retired in April 2016.
Bryant's achievements include being the 2008 NBA Most Valuable Player and two-time NBA Finals MVP. He was also two-time NBA scoring champion and a two-time Olympic champion.
He also won an Oscar for best short animated film in 2018 for for Dear Basketball, a five-minute film based on a love letter to the sport he had written in 2015.


This breaking news story is being updated and more details will be published shortly. Please refresh the page for the fullest version.

Source BBC..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa kutoka nchini Marekani zinasema Nyota wa zamani wa mpira wa Kikapu wa NBA Kobe Bryant amefariki kwaajali ya Helicopter.
..........
 
Yes inasikitisha sana. RIP ulimwengu wa mchezo wa kikapu utakukumbuka sana
 
Upumzike salama dungu..
Wote tunakuja huko punde
 
Kweli kifo hakichagui ila kuna wakati unajiuliza kwanini wanapenda usafiri wa helicopter wenye hela?
Halafu matokeo huwa mabaya tu
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna Billionaire mmoja wa Kichina alienda France kununua chateau na shamba kubwa la chai na wine
Alienda akiwa na mke wake na mwanae wa miaka 12
Wakaondoka kwenda tour katika shamba kwa helikopter wakiwa na tajiri mwenye shamba na mwanae
Mke wake alikataa akiogopa helicopter
Kupaa tu haikufika mbali ikaanguka na kuuwa matajiri wawili pilot na mtoto

Daa kifo cha Kobe kimehuzunisha sana



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom