Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Wewe ni kiazi mviringoWewe mbuzi, mtu anaweza chukua tweet ya zamani akaedit. Tumia akili CCM mkubwa we
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kiazi mviringoWewe mbuzi, mtu anaweza chukua tweet ya zamani akaedit. Tumia akili CCM mkubwa we
Zipo nyingi, nimemletea huyo mbwiga hapo juu inayohusu
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Ndo brand ya kwanza ya helicopter hii. Igor Sikorsky jamaa Mrusi ndo aligundua Helicopter na kuhamia U.S ndo ikaanzishwa kampuni hii. Wababe sana kwenye fani hii hata Boeing, Bell na Mangusta wanasubiri. Tena wanaspecialize kwenye copter tu.
Halaf kumbe alikua akiikodisha. HakununuaNdo brand ya kwanza ya helicopter hii. Igor Sikorsky jamaa Mrusi ndo aligundua Helicopter na kuhamia U.S ndo ikaanzishwa kampuni hii. Wababe sana kwenye fani hii hata Boeing, Bell na Mangusta wanasubiri. Tena wanaspecialize kwenye copter tu.
Pole sana.Kifo cha ghafla kama ajali kinashtua mno na inachukua muda sana kukubali ukweli. Nawaombea faraja ya Mungu iwafunike wewe na familia yako pamoja na ya Kobe na water walioguswa na misiba hii.AmenKifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi
Na wote yeye na binti yake wamrkufa kwenye ajali hiyoHuyu mwamba kanifanya nijue kifo ni dakika tu... nilikuwa namcheki juzi yeye na binti yake wakiwa wanacheki game ya lakers.. muda wote wanaoneshwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah taarifa zinasema mtoto wake Giana Maria nae amefariki.
Tusubiri tuone chanzo .
Haamini kilichotokea na anajaribu kuomba msamaha kwa utabiri wakeHizo nyingine kapost nini? Hajapost kuhusu huku kwetu afrika ya mashariki na ya kati? Cheki kama kapost kitu kuhusu Tanzania.
Tuma screenshot tuone sisi tunaotumia freebasics.
Duh! Teknolojia na yenyewe ni mbaya sana. Ishu ya 2012 inaibuka leo 2020, macho yote kwa mtabiri.Haamini kilichotokea na anajaribu kuomba msamaha kwa utabiri wake
View attachment 1336329
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Anyway siyo jambo la ajabu mtu kutabiri jambo la likatokea hata kama hakumaanisha linaweza kutokea pia. So lets us dont take it seriouslyDuh! Teknolojia na yenyewe ni mbaya sana. Ishu ya 2012 inaibuka leo 2020, macho yote kwa mtabiri.
Mimi nahisi kaedit
Aah hiyo nasikia kwako. Lakini uwezo wa kuimiliki alikuwa nao mwingi tuHalaf kumbe alikua akiikodisha. Hakununua
Uwezo wa kununua alikua nao. Ila TMZ wanasema alikua akikodiAah hiyo nasikia kwako. Lakini uwezo wa kuimiliki alikuwa nao mwingi tu