Koboko aka Black Mamba

Koboko aka Black Mamba

Siku moja tulikuwa site maporini huko tunafanya survey, ghafla tukakutana naye

Bahati nzuri tulikuwa na Wazee Fulani wa Kimila, walitema mate Chini ghafla yule Koboko akageuza njia haraka kutupisha na kutokomea maporini zaidi [emoji119]
Mmmh huu upotoshaji usifuatwe ni hatari kwa maisha yako.
 
Kwanini Mkuu?

Umewahi kufanya project za Vijijini? Hayo mambo hutokea sana Mkuu 😅
Tabora kuna wazee akikutana na nyoka, huyo nyoka anakimbia mwenyewe...

Hicho ulichoandika kipo sana...
 
Sijui kama alikuwa ni Koboko mtu ama Koboko kweli ila baada ya kutema mate wale Wazee yule Koboko aliondoka mwenyewe bila kutudhuru.

Niamini
Sio koboko tu....nyoka wote wanaogopa wakikuona unatema mate, wanajua yana sumu kama yao
 
Usukumani watu wanaodili na nyoka kama wanadili na simbilisi wapi.

Yaani huyo koboko huwa anauliwa tu Kwa vifimbo vifupi hadi unashangaa!!
 
ni kavutwa anyumbulike au ndo urefu wake huo🙄🙌🏾
 
. Kuna dawa za asili za kuchanjia mwilini, nyoka yoyete yule akikuona atadhani ni nyoka mwenzie, hivyo hawezi kukufanya chochote.

. Bila kumsahau mamba pia kuna dawa za kuchanjia, hata ukiogolea na mamba sehem moja hawawezi kukudaka, watadhani na wewe ni mamba mwenzie.


NB: Majivu ya nyoka kazi yake kuu, hutumika kugandisha hasa wanaofanya uzizi na mke wa mtu au na mme wa mtu.
Hayo unafanya wewe mwenyewe au kuna anayefanya?
 
NB: Majivu ya nyoka kazi yake kuu, hutumika kugandisha hasa wanaofanya uzizi na mke wa mtu au na mme wa mtu.
TOA maelezo hapa wanaopenda kuroga, Wanga, vigagu, vigagula, samvu la chole almaarufu km wachawi wasio rasmi wachukue NOTICE
 
Sidhan Kama duniani Kuna nyoka mshari na mweye visasi kama black mamba
 
Back
Top Bottom