Mmmh huu upotoshaji usifuatwe ni hatari kwa maisha yako.Siku moja tulikuwa site maporini huko tunafanya survey, ghafla tukakutana naye
Bahati nzuri tulikuwa na Wazee Fulani wa Kimila, walitema mate Chini ghafla yule Koboko akageuza njia haraka kutupisha na kutokomea maporini zaidi [emoji119]